SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Update Mtoko Wako Wa Ramadhani Kwa Kuongezea Corset Belt
How to Rock

Update Mtoko Wako Wa Ramadhani Kwa Kuongezea Corset Belt 

Corset Belt imekuwepo kwa miaka mingi, na ime rudi tena katika trend mwaka jana, ina wezekana una corset belt yako na hujui namna ya kuistyle au kuvaa katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Kwa kuliona hilo tumekuletea baadhi ya Hijabista’s ambao wao walivaa mavazi yao ya kujistiri wakiwa wameongezea na corset belts

Una weza kuvaa corset belt yako na Abaya (baibui) na ukapendeza sana as usual jua tu namna ya kupangia rangi.

Abaya X Tshirt X Kimono tumesha waona watu maarufu wengi wakivaa over sized  tshirt na corset belt kwa msimu huu wa ramadhani huwezi kuvaa hivyo unacho takiwa kufanya ni kuongezea skin jeans na kimono ili kuficha maungio yako una weza ku add accessories nyingine na bila kuisahau hijab yako.

Corset belt na maxi skirt, una weza kuvaa corset belt belt na blouse na maxi skirt kama ambavyo blogger Maria Alia ame vaa hapo chini

Street Style na over sized tshirt, skin jeans, corset belt na denim coat

Unaweza kuvalia pia na shift dress na suruali

Corset belt ina flatter shape yako pia ina fanya uonekane upo putted together, kama utajaribu kuvaa corset belt msimu huu husisite kututag katika account zetu kwenye mitandao ya kijamii

Related posts

3 Comments

 1. learn this here now

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/update-mtoko-wako-wa-ramadhani-kwa-kuongezea-corset-belt/ […]

 2. Nandrolon Decanoat Kaufen

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/update-mtoko-wako-wa-ramadhani-kwa-kuongezea-corset-belt/ […]

 3. 영화 다시보기

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/update-mtoko-wako-wa-ramadhani-kwa-kuongezea-corset-belt/ […]

Leave a Reply