Mbunifu huyu kutoka New Zealand amesababisha zogo kubwa katika mitandao ya kijamii baada ya kubuni pochi kwa kutumia ngozi na kichwa cha paka aliye kufa.
imewekwa katika website iitwayo Trade Me, na inauzwa kiasi cha $1,400 hadi ($1,000) sawa na pesa ya madafu ya hapa kwetu Tzs 3,080,000 hadi (2,200,000)
kutokana na tangazo pochi hili pia ni part ya Christchurch taxidermist Claire Hobbs’ one-off “Glamourpuss” summer collection.
“A very stylish handbag… for the girl that has everything, a one off purse that will grab attention wherever you go,” the advert states.
“This handbag will last for years and years as long as it is looked after. This purse strap is easily changed to suit your taste… This is not for the faint hearted.”
na hizi ni baadhi ya comment walizo pata katika website hio baaada ya kuweka pochi hilo
“This is disgusting. Not the slightest bit creative or artistic,” wrote one commenter.
“That is sick!! I love animals and you are totally disrespecting them!!”
“Whoever is silly enough to purchase this… Please give the poor cat the burial he deserved… let him have some dignity in death please.”
Je wewe msomaji wetu unaonaje je ubunifu huu ume vuka mpaka au ni sawa kutumia hii style kwa sababu paka alisha kufa? tupe maoni yako kupitia
Instagram – Afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – Afroswaggatz
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…