SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

UTOKE VIPI?
Mitindo

UTOKE VIPI? 

Ni Ijumaa nyingine, tena ni ijumaa nzuri ambayo ipo mwisho wa mwezi. Ikifika siku kama ya leo wengi tunakua tumeshajua tunaenda wapi  kwa ajili ya mapumziko na kutuliza akili kwa uchovu wa juma zima. Lakini tatizo linakuja je nini uvae hii inaleta shida kwa wengi. Hakuna kitu kigumu kama uchaguzi wa mavazi hasa kama unaenda kwenye sehemu zenye watu wengi

nini una takiwa ufanye katika uchaguzi wa mavazi:

  • siku zote chagua mavazi ambayo yata kufanya utembee kwa uhuru
  • kama si mpenzi wa viatu virefu si lazima uvae (chagua boots na makobazi)
  • kama ni mpenzi wa viatu virefu vaa ila angalia na mazingira unayo tembelea kama yanaruhusu
  • crop top zipo kwenye chat sasa hivi uonekana wa kijanja zaidi kama utavaa (lakini kama mwili wako unaruhusu)
  • Chagua Urembo kama mikufu au hereni zenye rangi za kuvutia zaidi
  • Suruali za kiume au kaptula fupi nazo hazipo nyuma
  • sketi na magauni mafupi yasiyo bana sana nayo yana karibishwa.

Kama ambavyo wote tunajua ni kipindi cho joto wengi wetu tunaenda senemu za ufukweni, kama utaenda ufukweni Ukivaa crop top, sketi fupi  au  kaptura fupi na viatu ambavyo havina mchuchumio utanoga zaidi. bila kusahau urembo kama kofia,mawani na mkoba ambao utabebea vipodozi vyako.

c600x626 farmers-market-picnic

 

kama utaenda kwenye sehemu za densi,disco gauni zisizo bana viatu vya chini pamoja na urembo.

weekend night-honky-tonkin

kama utatoka tu na marafiki kwenda kufanya manunuzi madogo madogo, basi hili ni chaguo sahihi jeans, blauzi zisizo na joto sana na zenye rangi za mvuto na viatu visivyo na mchuchumio

outfit3 218

kama utatoka na mpenzi usiku kula chakula cha usiku au marafiki kwenda sehemu kupata vinywaji hutokosea ukivaa hivi

outfit1 outfit2 date-craft-cocktails

 

 

Related posts

1 Comment

Leave a Reply