Tumekuwa tukiona baadhi ya brand za viatu vya kiume kutoka Tanzania kama Surtanforemen lakini pia Mbunifu Mtani Nyamakabibi amezindua shoe line yake iitwayo Mtani Shoes, well tukawaza kwani Africa Mashariki hatuna shoe line ya kike? Tukakutana na hii shoe line ya kike inayo itwa Uzi Isle, wao wanatengeneza sandals za shanga ambapo wao wapo New York lakini viatu hivi vina tengenezwa East Africa, bado hatujaua Nchi gani exactly
Kwa wao kuwa New York haimaanishi huwezi ku order vyako ukiwa popote ulipo, wana website uziisle.com hapa unaweza kuagiza na kuletewa ulipo.
Sandals zao zipo design tofauti tofauti lakini tulicho penda the most ni rangi na quality ya viatu hivi.
hii ni collection yao mpya iitwayo tropical paradise ambayo wenyewe wanasema wame kuwa inspired na kisiwa cha Zanzibar.
hizi ni some of our favorite kutoka kwenye collection zao zilizo pita
kamaungependa kununua tembelea website yao uziisle.com
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 96132 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/uzi-isle-collection-beaded-sandals/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/uzi-isle-collection-beaded-sandals/ […]