SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Valentines Came Early To These Celebrities
Mitindo

Valentines Came Early To These Celebrities 

Ndio kwanza tunaanza mwezi wa pili, A.K.A mwezi wa upendo au mwezi wa nyekundu, well we all know tarehe 14 mwezi wa pili ni valentines day, siku ya wapendanao na kwa kuonyesha upendo huo wengi huwa wanavaa rangi nyekundu au kuweka baadhi ya urembo wenye rangi hio katika mionekano yao, katika pitapita zetu huko Instagram tumekutana na mionekano hii ambayo sisi tumeona kama wameanza valentines mapema

Tumemuona mwanamuziki Avril kutoka Kenya akiwa in this red assemble, red jacket, ambayo alivalia na black belt, chini amevaa na short biker shorts na kumalizia muonekano wake na thigh high boots, kwenye accessories amevaa red dropped statement earrings na up hair do, lets say Avril slay this bloody look 

Mutha of them All Queen Bey tumemuona in all red number, red blazer dress akiwa amevalia na matching boots, huku akiwa amemalizia muonekano wake na channel small bag na middle part hair style, they don’t call her Queen for nothing.

 

Kutoka Tanzania mwanamuziki Juma Jux nae hakuwa nyuma katika kuukaribisha mwezi wa pili na red attire, ambapo yeye ametupa red vest, red trouser na black kicks huku akiwa amecomplete muonekano wake na accessories kama chain, earrings na ting glasses 

Well #afromates we will keep updating you on what to wear on this season.

Related posts