SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Valentines Worthy Looks From The Gram
Mitindo

Valentines Worthy Looks From The Gram 

Sote tunajua tarehe 14  mwezi wa pili ni siku ya wapendao, watu wengi wawe maarufu au wenzetu na sie huwa wanatoka na wapendwa wao kusheherekea siku hii, well jana tulipatta kuona celebrities wetu waki-enjoy hii siku huku wakiwa wamevalia mavazi safi kabisa ya kuendana na siku yenyewe, baadhi ya ambayo tuliyapenda ni haya

video vixen ambae sasa ni Model Irene Louis yeye alionekana in this gorgeous red dress, so elegant yet sexy amemalizia muonekano wake na gold accessories na short curl hair style, we love this look from head to toe, and red is her color imemfanya a-pop, and the makeup is delicious we are digging this look.

Mwanamuziki Karen na yeye alionekana akiwa kwenye hii one shoulder red dress yenye details za ruffle kidogo,we love the dress imem-fit well na mwili wake tunatamani kungekuwa na effort kwenye nywele but she did good.

Fashionista kutoka Nigeria Angel Obasi yeye alitupa a slit skirt look with a white tee huku akiwa amemalizia muonekano wake na sleek hair, black mini bag na black pumps tumependa namna ambavyo amechagua kitu cha tofauti.

Modesty fashionista Hamdeeya Hameed yeye alituonyesha namna unavyo weza kuenjoy valentine yako ukiwa umejistiri kwa kuvaa hii head to toe red outfit akiwa amemalizia muonekano wake na matrix sun glasses na red clutch, slay baby slay

Mwanamitindo Jacqueline Mengi yeye ali color block with pink & red, we love this look as we all know pink is ladies color and red ni rangi ya upendo we think on creativity Jacqueline outfit won our heart.

Well afro mates outfit ipi imekuvutia zaidi kati ya hizi?

Related posts

7 Comments

 1. buy benelli shotguns

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/valentines-worthy-looks-from-the-gram/ […]

 2. new weight loss medication mounjaro​

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/valentines-worthy-looks-from-the-gram/ […]

 3. advice

  … [Trackback]

  […] There you will find 70020 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/valentines-worthy-looks-from-the-gram/ […]

 4. Nandrolon Decanoat Bestellen

  … [Trackback]

  […] There you can find 3106 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/valentines-worthy-looks-from-the-gram/ […]

 5. mushrooms of Florida

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/valentines-worthy-looks-from-the-gram/ […]

 6. a knockout post

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/valentines-worthy-looks-from-the-gram/ […]

 7. Plus d'information

  … [Trackback]

  […] There you will find 10845 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/valentines-worthy-looks-from-the-gram/ […]

Comments are closed.