Mwanamziki Vanessa Mdee Au Vee Money na mpenzi wake Rotimi, wamewekawazi kwamba wanatarajia kupata mtoto wa kiume katika feature yao kwenye gazeti kubwa la People Magazine.
Katika interview yao wameweka wazi kwamba wanatarajia kupata mtoto wa kiume, na kwamba zimebaki week chache mpaka kujifungua mtoto huyo.
” We are super excited to welcome our son. As first-time parents, everything about this experience has been a brand-new challenge,” they say. “We love it.”

Vanessa amesema kwamba ujauzito wake upo “very smooth” “He’s been so good to us. No real pain or symptoms. Some funny cravings and food aversions here and there. It’s been much harder in these final weeks because he’s preparing his arrival, but all in all we’ve been super blessed.”

Walipoulizwa kuhusu watakuwa wazazi wa aina gani Rotimi alimjibia Vanessa kwa kusema, Vanessa atakuwa “very passionate, love and protective mom.”
And Rotimi, Mdee says, is “definitely going to be the cool, calm, collected and fun dad who’s also a great communicative disciplinarian.”
Well Congratulations to Vanessa Na Rotimi Unaweza kusoma zaidi interview nzima hapa Power Actor Rotimi Expecting First Baby with Fiancée Vanessa Mdee: ‘Brand-New Challenge
Their maternity photos, taken by Leslie Andrews and shared exclusively with PEOPLE, featured make-up by Danielle Elston, hair by Autumn Thomas and styling by Elena Ayala.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vanessa-mdee-and-rotime-revealed-their-expecting-a-baby-boy-on-peoples-magazine/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vanessa-mdee-and-rotime-revealed-their-expecting-a-baby-boy-on-peoples-magazine/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vanessa-mdee-and-rotime-revealed-their-expecting-a-baby-boy-on-peoples-magazine/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vanessa-mdee-and-rotime-revealed-their-expecting-a-baby-boy-on-peoples-magazine/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 44332 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vanessa-mdee-and-rotime-revealed-their-expecting-a-baby-boy-on-peoples-magazine/ […]