Ukweli tuseme Vanessa ni moja kati ya wanamuziki wa kike wanao tuwakilisha vyema kabisa ki muziki ndani na nje ya Nchi, Jana Vanessa ametuwakilisha katika Tuzo kubwa kabisa Duniani za Bill Board Music Award ambapo yeye alienda kama mualikwa na haku chaguliwa kugombania tuzo yoyote. Vanessa alitupia picha yake Instagram akiwa katika red carpet ya Tuzo hizo na guess alivaa nini? Pajama’s yes Pj’s
Vanessa alivaa stripedย silk pink pajama, akavaa na bralette nyeusi na akamaliza muonekano wake na fur heels, kwetu sisi muonekano wake huko sawa haja chusha, haja pendeza sana tuna weza kusema 50/50, Vanessa alikuwa na uwezo wa kupendeza zaidi ya hapa well hilo ndiyo lilikua chaguo lake Pj’s kwenye red carpet zilikua a hit mwaka ulio pita tumeshawaona watu maarufu wengi wakizivaa kama Rihanna
Rashida Jones
Na wengine wengi, tupe maoni yako kwako ni Yay au Nay?
Related posts
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda seโฆ https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…