SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

VANESSA MDEE FIESTA STYLE YAY OR NAY
Mitindo

VANESSA MDEE FIESTA STYLE YAY OR NAY 

Vanessa ambae watu wengi walimmiss katika jukwaa la Fiesta ame onekana kurudi baada ya kupanda katika jukwaa la Fiesta Mororgoro, kwa wengine wana weza kum- judge kwa performance zake jukwaani lakini kwetu sisi tunaongelea mavazi.

Tunajua kwamba Vanessa yuko vizuri mno katika mitindo na safari hii nae ame onekana kuvalishwa na Kiki Zimba mpaka sasa,

Kwa mara ya kwanza Vee alionekana katika Denim Romper ambayo kiki aliiongezea na mikono ya tarumbeta haikua ime onganika na hio romper kama uonavyo hapo kwenye picha, alivalishwa na thigh – high boots in which zipo katika trend kwa sasa, haukua muonekano wa kushtusha sana lakini pia hauku bore kawaida

14309913_1184291251641343_88732774_n 14374406_1187769374578174_948230801_n

Muonekano wa pili ilikua gauni fupi nyeusi, flat boots na stockens, the dress si mbaya lakini inge kuwa vizuri kama ange ivaa kwenye date hivi na heels, the boots sio mbaya sio nzuri japo bado hatuja ona maana ya hizo socks, pia make up haikuwa nzuri Vanessa kaonekana na rangi mbili but bado Fiesta haija isha bado kuna wakati wa kuendelea kubadilika

14271991_1076175879144421_40017409_n 14334546_1653528718291652_1490435179_n

Kama una maoni kuhusu muonekano huu tutafute kupitia

Facebook – Afroswaggamag

Instagram – Afroswagga

Twitter – Afroswaggatz

Related posts