Camo trousers zimeonekana kuwa zinaanza ku-make statement Tanzania, tulianza kumuona nazo mwanamuziki country boy, tukamuona pia G nako na sasa tumemuona nazo mwanadada Vanessa Mdee, well we hope zitaishia kwenye rangi hizi hizi zisifike mbali we all know wenye umiliki wa hizi huwaga hawana masikhara na vazi lao.

Country Boy yeye alivaa suruali hii na white t-shirt akamalizia muonekano wake na funny pack. miwani na mkufu.

G Nako yeye alivaa pants hizi na mustard yellow long sleeve tee shirt, akamaliza muonekano wake na kufunga  bandana shingoni, miwani na hizi bag zinazo valiwa siku hizi sisi tunaziita chest bags

Vanessa yeye alivaa ya rangi ya tofauti kidogo ambapo alivaa na sports bra,kicks za kijani mpauko akamalizia na accessories kama mkufu, hereni na miwani.

they look good lakini lazima kuna mmoja ambae amekuvutia zaidi kati yao tuambie ni nani