SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Vanessa Mdee Na Diamond Outfits Katika One Africa Music Fest
Mitindo

Vanessa Mdee Na Diamond Outfits Katika One Africa Music Fest 

Week imeaisha na tumeanza week mpya, lakini weekend iliyopita ilikuwa na matukio mengimengi yaliyo husisha watu maarufu na fashion & style, Well tukio kubwa lilifanyika jumamosi ambapo kulikuwa na One Africa Music Fest hii hufanyika kila mwaka na lengo kubwa ni ku – promote African music, create awareness, stimulate demand, develop audiences and promote sustainability for African music globally.

Lilifanyika London The SSE Arena, Wembley. Katika wasanii wengi tuliwakilishwa na wasanii wawili ambao ni Vanessa Mdee ( Vee Money) na Diamond Platnumz, Jicho letu lilikuwa kwenye wamevaa nini? Now Let’s Do The Judging

Vanessa Went Beyonce on us kwa kuvaa body suit nyekundu iliyo buniwa na mbunifu Elisha Red Label, Body suit ilikuwa ina glitter na one side tail, Kwetu sisi tumependa this look so much, body suit ime m-fit well imeendana na tukio its a music festival alitakiwa kuwa comfortable ku-move lakini pia hakutakiwa kuwa na nguo nyingi as she needed air.

Lakini pia ame debuty a new hair do, wavey weave yenye rangi nyeusi na kijani, hair done by americanhair_tz na makeup ilitulia pia

Haya turudi kwa kaka Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz, Diamond alivaa stripes trouser, graphic t-shirt na denim coat, we love this outfit pia ina festival feeling, colorful & fun amemaliza muonekano wake na miwani, mikufu, saa, pete na hereni.

Tupe maoni yako wewe muonekano wa nani umekuvutia zaidi kati ya Diamond na Vanessa na kwanini?

Related posts

3 Comments

  1. mm88

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vanessa-mdee-na-diamond-outfits-katika-one-africa-music-fest/ […]

  2. buy golden teacher mushroom online english

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vanessa-mdee-na-diamond-outfits-katika-one-africa-music-fest/ […]

  3. view it now

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vanessa-mdee-na-diamond-outfits-katika-one-africa-music-fest/ […]

Comments are closed.