SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Vanessa Mdee Wins Best Dressed Outfit Of The Week
Mitindo

Vanessa Mdee Wins Best Dressed Outfit Of The Week 

Ukiongelea msanii ambae ni kinyonga linapokuja swala la fashion basi lazima umtaje Vanessa Mdee, she always have something catchy kwenye outfit zake, inaweza kuwa kiatu, accessories, hair style au hata style za outfit zake, she just gets it. Mara nyingi huwa tunaongelea kuhusu mionekano ya wasanii, jinsi ambavyo unajiweka ndivyo ambavyo makampuni na wadau watakuchukulia.

Vanessa Mdee kachukua deal na FashionNova Curve mwaka huu kama ambassador wao, brand ambayo inafanya kazi na wasanii wakubwa kama Cardi B, Kylie Jenner, Black Chyna na wengine wengi, na hii ni kutokana na anavyo jiweka. Body yake nzuri, ukiangalia style sense yake ipo vizuri pia kupewa u-ambassador na brand hii ni jambo ambalo tunaweza kusema ni jambo ambalo halishtui of course lazima waende kwa Vee she does it like no other.

Well week hii, hii outfit yake imeshinda best dressed outfit of the week kwetu, tumependa the way amemix prints, rangi za kwenye hii outfit accessories & hair perfecto.

We are looking forward to see more looks from her lakini pia we hope she gets more deals za kuwa ambassador wa brand za fashion ili na wengine waweze kujifunza kutoka kwake.

Well tuambie unauonaje muonekano huu wa Vee?

Related posts

3 Comments

 1. ยารักษาหนองใน

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vanessa-mdee-wins-best-dressed-outfit-of-the-week/ […]

 2. lsd pills effects,

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vanessa-mdee-wins-best-dressed-outfit-of-the-week/ […]

 3. check out this site

  … [Trackback]

  […] Here you can find 28566 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vanessa-mdee-wins-best-dressed-outfit-of-the-week/ […]

Comments are closed.