Baada ya event ya The Academy Awards  “The Oscars” hufuatiwa na event nyingine kubwa ambayo imepewa jina la “Vanity Fair Oscars After party” hii ni baada ya Tuzo waalikwa wanaenda kuenjoy na ku-network.

Well huku napo kunakuwaga na red carpet na tunaweza kusema huku ndipo kuna slayage za nguvu hasa, well lets see nani alivaa nini.

Cynthia Erivo , Billy Porter , Charlize Theron

Billie Eilish , Karamo Brown , Noah Jupe

Chrissy Teigen & John Legend , kimye , West The Wade

Kylie Jenner , Kerry Washington

Ella Balinska , Ciara