Mwezi huu katika  la gazeti la STYLE MANIA, mwanadada VANESSA MDEE au VEE MONEY kama mwenyewe ambavyo ana penda kujiita ata onekana katika  la STYLE MANIA MAGAZINE kutoka nigeria.

IMG-20150813-WA0002

jarada la gazeti hilo lime pambwa na mwanadada Vimbai Mutinhiri kutoka zimbabwe ambae ni mshiriki wa Big Brother na pia ni mtangazaji.

style-mania-magazine-travel-issue-2015-ajala-bella-1

katika urembo amewekwa mwanamitindo Ramona Fauziah Nanyombi kutoka Uganda.

style-mania-magazine-travel-issue-2015-ajala-bella-3

wakati katika tahariri ya mitindo wame mshirikisha  vanessa mdee mwanamuziki kutoka Tanzania.

IMG-20150813-WA0004(1)

IMG-20150813-WA0002

Vannessa amevalishwa na: Godson Ukaegbu

Amepambwa na: Dorcas Otobo

Mpiga picha:Kelechi Amadi-Obi

IMG-20150813-WA0005

IMG-20150813-WA0006

vanessa ameonekana sehemu tofauti tofauti na mavazi aina tofauti.