SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Vazi La Fahyvanny Lenye Gharama Ya Milioni 3
Mitindo

Vazi La Fahyvanny Lenye Gharama Ya Milioni 3 

Waswahili husema “Vizuri Gharama”, yes vitu vyote vizuri Duniani ni gharama au lazima ugharamie kuvipata. Na hii inaonekana pia katika mavazi, leo tunaongelea vazi la mwanadada Fahyma ambae ni mchumba wa mwanamuziki Rayvanny lililomcost shilingi Milioni 3 za ki-Tanzania.

Fahyma alivaa vazi hili katika Wasafi Music Festival event & she looked good on it.

Her make up ilikuwa on point perfect for the event hakuwa too shouting wala too simple (her makeup & hair done by @ laviemakeup )

As amesema huu muonekano mzima ume mgharimu milioni tatu, tuangalie na accessories, tusiongelee sana kuhusu gharama lakini sote tunajua wapi tunaweza kuzipata hizi accessories na kiasi, amevaa big hoop earrings, huku akiwa amemalizia na pete mbili kubwa mkononi zenye stones.

Nguo inatoka Mobettostyles ilikuwa a sequin romper nyeusi yenye lace na feathers mikononi, we loved this design, imeenda na age yake, mwili na event. Amemalizia na below the knee boots ambazo nazo zilikuwa nyeusi.

She looks like a bag of money #afromates tuambie kwenye comment section hapo chini je hii outfit inathamani sawa na aliyotutajia Fahyma?

Related posts