SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

VAZI LA TAIFA BADO KIZUNGUMKUTI MISS UNIVERSE TANZANIA
Mitindo

VAZI LA TAIFA BADO KIZUNGUMKUTI MISS UNIVERSE TANZANIA 

Mwezi huu tarehe 29 Januari kutakuwa na fainali za mashindano ya Miss Universe zitakazofanyika nchini Philippines, Asia ambapo Tanzania
imebahatika kuwakilishwa na mrembo Jihan Dimack.Tumeweza jione mavazi ya taifa (national costumes) tayari kutoka kwa baadhi ya
warembo kama Thailand,
Indonesia,
Vietnam, China na baadhi ya nchi ambapo yameweza kututeka na kutuvutia kwa sana hata karata zetubkutupwa kwa warembo hawa kuwa watafanya vizuri katika fainali hizi.
Gumzo ni kwamba Tanzania yetu itatoa ama kuonyesha vazi gani katika kipengele hiki? Maana hapo nyuma katika mashindano haya na mengine ya ulimbwende duniani, Tanzania imeonekana kukosa creativity na uasili kutokana na kutokuwa na viashiria vya alama ziitambulishayo Tanzania duniani japokuwa Tanzania yasifika na kujulikana kwa kuwa na mlima mrefu Africa nzima, Mlima Kilimanjaro na mbuga nyingi za wanyama zenye kuvutia watalii wengi nchini. Hivyo macho yetu yote ni kwa mwanadada Jihan tukisubiri vazi gani la taifa atalionesha kwenye mashindano haya.
by the way Kura zinaanza kupigwa kuanzia tarehe 23, jinsi ya kupiga kura ,download the new app ‘VODI’ and enter the code ‘TANZANIA’ when u sign up! Asanteni 😍 (download Application Inaitwa VODI wakati wa sign up ingiza code TANZANIA na Subiri tarehe 23 tuanze kupiga kura)
Article Credit @Willibard_jr
Follow us on
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz

Related posts

8 Comments

  1. dig this

    … [Trackback]

    […] Here you will find 58380 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vazi-la-taifa-bado-kizungumkuti-miss-universe-tanzania/ […]

  2. marijuana dispensary

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vazi-la-taifa-bado-kizungumkuti-miss-universe-tanzania/ […]

  3. 4-aco-dmt online kaufen,

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vazi-la-taifa-bado-kizungumkuti-miss-universe-tanzania/ […]

  4. Liberty Caps Mushroom

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vazi-la-taifa-bado-kizungumkuti-miss-universe-tanzania/ […]

  5. Ufa191 บาคาร่า

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vazi-la-taifa-bado-kizungumkuti-miss-universe-tanzania/ […]

  6. บาคาร่าออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Here you can find 39661 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vazi-la-taifa-bado-kizungumkuti-miss-universe-tanzania/ […]

  7. 同人 cg

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vazi-la-taifa-bado-kizungumkuti-miss-universe-tanzania/ […]

  8. 뉴토끼

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vazi-la-taifa-bado-kizungumkuti-miss-universe-tanzania/ […]

Leave a Reply