SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Vazi  La Yammi Tz Lafananishwa Na Zulia Ya Manyoya
Mitindo

Vazi La Yammi Tz Lafananishwa Na Zulia Ya Manyoya 

Mwanamuziki kutoka katika label ya the African princess, Yammi ame trend katika mitandao ya kijamii kutokana na vazi lake alilolivaa jukwaani wakati anatumbuiza.

Yammi alivaa pink fur outfit ambayo ilikuwa ni crop top, mini skirt na knee length fur socks zikiwa za manyoya ya pink, watu wengi walionekana kufananisha kivazi hiki na zulia la manyoya.

well we can’t unsee the similarities lakini ni ubunifu pia, tuliona namna Diamond alivyotumia pazia kushona suit na ikampendeza

Diamond Platnumz Alivyovaa Coat La Suit Lililotengenezwa Na Kitambaa Cha Pazia

Well let us know thoughts zako katika kivazi hiki cha Yammi ukiachana na kufananishwa na zulia je kimempendeza?

Related posts