SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Vazi La Zari The Boss Lady Lazua Maswali
Mitindo

Vazi La Zari The Boss Lady Lazua Maswali 

Jana Uganda wamepata Miss Uganda ambae ataenda kuiwakilisha Nchi yao katika Miss World huko Nchini China, moja kati ya majaji waliokuwepo katika kujudge mamiss hao ni Zarina Hassan A.K.A Zari The Bossy Lady, Kama kawaida wengitulikua tunasubiri kuona atavaa nini?ย  kinyume na matarajio yatulio wengiย Vazi La Zari The Boss Lady likazua maswali ambapo wengine walisema ni sawa yeye kuvaa vile na wengine wakisema hapana si sawa. Basi tukaona si sawa liishie hivi hivi na utata na sisi tutoe maoni yetu

Wengi wamejiuliza kama si sawa kwa judge kuvaa hivi, yaani kama amekuwa too much na kuwa out shine mamiss cha kwanza kabisa inabidi tujue Zari ilibidi apendeze kwasababu ukiachana na event yeye alikuwa center of attention kila mtu jicho lilikua kwake angevaa kawaida pia angeongelewa she chose the go big or go home statement and she decide to go big,

Lakini pia hamna rules za judge avae nini, kama miss inabidi ujiandae vilivyo ili judge kama Zari asionekane uonekane wewe, waliosema vazi alikuwa mahala pake kumbukeni hii ni Miss Uganda si Miss Kitongoji na kulikuwa na red carpet she did good kwa maoni yetu.

Tumependa rangi ya gauni, japo muundo wake kifuani hakuwa our cup of tea haija fit vizuri kifua kime hang hang tu hakijakaa vyema, the updo is what we been shouting everyday tunashukuru hapa ametuonyesha anaweza kubana nywele, makeup & accessories on point.

kama una maoni yoyote tuandikie hapo chini

Related posts

1 Comment

  1. download video tiktok

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vazi-la-zari-the-boss-lady-lazua-maswali/ […]

Comments are closed.