Vanessa Mdee Also Known As Vee Money ame tuonyesha kwamba ana weza kuwa stylish katika hali ya hewa yoyote, kipindi hiki cha baridi na mvua Vee ame tupia picha katika ukurasa wake wa Instagram akiwa casual in ripped graffiti  jeans na mustard color sweater

Vanessa looked dapper na outfit yake na big hair don’t care

Vanessa pia ni accessory lover ame accessories mtoko wake na rings, bracelets na cheni za miguu

amemaliza na white Reebok shoes