SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Vercase Medusa Aevitas Platform Pumps Zinavyo Trend Kwasasa
Mitindo

Vercase Medusa Aevitas Platform Pumps Zinavyo Trend Kwasasa 

Shoes brand’s zimekuwa ziki-work hard than the devils, kutoka kwa amina muaddi clear heels, zikaja Bottega Veneta Wrap-tie Mesh pumps sasa hivi ni zamu ya Vercase na hizi Medusa Aevitas Pumps.

Viatu hivi vinauzwa Usd 1,875/- sawa na Tsh 4,318,125, Vitu hivi vya satin vina bold block heel & double platform huku vikiwa vimemaliziwa na ankle strap yenye rhinestone na Medusa charm adds a hint of brand DNA. Tumewaona watu maarufu mbalimbali wamevalia viatu hivi akiwepo Beyonce, Gab Union pamoja na Keyshia Doll

Tunajua for a fact tutaendelea kuviona tena na tena, let us know thought zako je ni chop or drop?

Related posts