SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

VICTORIA BECKHAM ALIVYO STYLE VIATU VYAKE PENDWA
I'm A Celebrity

VICTORIA BECKHAM ALIVYO STYLE VIATU VYAKE PENDWA 

Victoria Beckham Mke wa aliye kuwa mcheza soka David Robert Joseph Beckham. Victoria alianza kama mwanamziki katika kundi la spice girls lakini kwa sasa ana jihusisha na ubunifu. Victoria ame onekana kuvutiwa na kupenda kuvaa viatu vyake hivi as si kitu rahisi kumuona mtu maarufu ana rudia kitu lakini Victoria uzalendo ume mshinda na kutokana na mapenzi yake kwa viatu hivi ame rudia mara mbili

ambapo mara ya kwanza kuonekana navyo ni pale alipo kuwa AIRPOrt ya JFK akiwa anaenda NYC kwa ajili ya shopping

Victoria-Beckham-in-Long-Dress--16-662x993

Victoria alivaa viatu hivyo vyeupe vyenye muundo wa boot na kisigino cha silver na Gauni lenye mistari ya blue na nyeupe huku akiwa ame bebelea pochi lenye manyoya la brown na kumalizia muonekano wake na miwani

wakati mara ya pili Victoria Beckham alionekana akiwa ana ondoka katika jengo la Edition hotel in New York akiwa amevalia viatu hivyo hivyo na gauni la rangi ya mustard/brown alilo valia shati jekundu ndani na kumalizia muonekano wake na miwani pia

3B19DEE600000578-4006162-image-a-91_1481039979123

kama una kipenda kirudie usijali nani ata sema nini

 

Related posts