Kinacho trend kwa sasa ni puffer jackets ziwe cropped au long ni chaguo lako tumesha ona watu maarufu mbalimbali akiwepo fashion icon Rihanna akiwa amevaa. Well ukiachana na Riri wapo pia Kim Kardashian na Victoria Kimani ambao wao wameonekana kuvaa hizi jackets hivi karibuni.
unaweza na wewe ku style kama au vingine zaidi ya wao hasa katika kipindi hichi cha baridi na mvua
While in Tokyo Kim Kardashian ameonekana akiwa amevaa silver cropped puffer jacket na spandex biker shorts huku akiwa amemalizia na raba na socks, while rocking her new hair do, Pink hair. kwa sababu ya hali ya hewa shorts haziwezi kuwa choice nzuri kwako unaweza kuvalia leggings au skin jeans.
Kenyan singer, Victoria Kimani ameonekana mara nyingi katika jackets hizi ambapo nae haja zistyle kutokana na baridi, hapa Victoria akiwa amevalia yellow, black & brown puffer jacket na bikini outfit huku akiwa amemalizia muonekano wake na thigh high boots.
Victoria Ameonekana tena akiwa amevalia black & white puffer jacket na leather leggins akiwa amemalizia muonekano wake na clear glasses na black pumps.
Hapa victoria akiwa ana tuonyesha how to flex your sexiness while rocking puffer jacket.
Kama ukijaribu ku style jacket hizi usisite kukutag @afroswagga Instagram
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/victoria-kimani-na-kim-kardashian-wanatuonyesha-namna-ya-ku-style-puffer-jacket/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/victoria-kimani-na-kim-kardashian-wanatuonyesha-namna-ya-ku-style-puffer-jacket/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 14675 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/victoria-kimani-na-kim-kardashian-wanatuonyesha-namna-ya-ku-style-puffer-jacket/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/victoria-kimani-na-kim-kardashian-wanatuonyesha-namna-ya-ku-style-puffer-jacket/ […]