Ni wakati wa ile season ambayo watu wengi tuliopo katika fashion industry huwa tunaisubiri, Swahili Fashion Week season kila mtu yupo busy kuandaa kile ambacho ata kipresent katika SFW, wakati tunapitia mitandaoni jana tumekuta wameanza ku-post kwamba watu wa nominate baadhi ya category za nani wanadhani anafaa kuchukua tuzo mwaka huu katika hio category.How can we pass without checking in nani ana kuwa nominated tulicho kutana nacho kikatufanya tuwaze je wa-Tanzania wanajua nini maana ya ku-nominate model, designer,stylist au designer of the year?
Tunadhani SFW wanauhitaji wakutoa kanuni za mtu kuwa nominated katika kipengele fulani ni vigezo vipi avifikie. Tunadhani watu wengi bado hawajaua vigezo hivi maana tumeona watu waki-nominate wabunifu hata ambao hawajatoa collection hata moja mwaka huu, hawaja fanya kazi yoyote ambayo ilishtua katika jamii, wana nominate sababu tu wanampenda au ni mtu ambae wanamsikia kila siku.
Hili limeonekana kwa models pia, stylist, fashion icon’s na vipengele vingine ambavyo tumeviona, watu wanarudia watu walewale ambao tumewazoea, the industry is growing watu wana hustle kupata hii platform ya SFW ambayo ni ndogo sana na muda ni mdogo sana tunahitaji kuona watu wapya wakinyanyuliwa na sio walewale kila siku, designer wa zamani its time wa step up game yao na kuwa na kufanya show zao wenyewe hii itasaidia kuacha nafasi kwa wadogo na wao wa showcase kazi zao katika jukwaa hili
Stylist pia inabidi wanao chipukia wapewe nafasi sio tu katika kuwa nominated katika Swahili Fashion Week lakini pia katika kupewa kazi na watu mbalimbali its about time tuwape nafasi na watu wengine pia, we have seen kazi nyingi zinajirudia na hii ni kutokana na kwamba ni watu wachache wanaopewa hizo kazi tunapata same taste kila siku.
Models we need to see you doing things out there huwezi kumwambia m-Tanzania a nominate model of the year kama mara yake ya mwisho kumuona huyo model kwenye runway ni mwaka jana kwenye jukwaa hilohilo la SFW hakuna kazi yake nyingine ambayo tumeiona, iwe kuwa jukwaani ( of course matamasha ya mitindo ni machache) au kwa yeye mwenyewe kutafuta brands za kufanya nazo kazi.
Kwa uelewa wetu SFW week ni platform ambayo inasaidia ku,
- Promote Eastern African fashion brands.
- Improve the quality and output of fashion design from East Africa
- Provide a platform for up and coming young designers in the region
- Create opportunities for East African products in African Diaspora markets
Lakini unawezaje kusaidia the same people kila mwaka? asilimia 70% ya models, designer, stylist na wengineo ambao wana showcase kazi zao katika hili jukwaa ni walewale kila mwaka it’s like the sheet doesn’t change, kama kuwa judges ambao huwa wana judge nani aingie katika kipengele kipi mwaka huu watusaidia kuleta kitu cha tofauti we need to see new people ambao wataleta new ideas, lakini pia kuna watu wengi ambao wanafanya kazi zao na tunaziona tunahitaji kuwatunza na hao pia ambao wanajaribu kufanya investment katika kazi zao na kuonyesha vitu vipya.
Tungependa kuona pia wa Tanzania wanapewa somo juu ya swala zima la kujua vigezo na masharti ya kunominate watu katika tuzo za SFW amefanya nini katika mwaka na kigezo kipi kina mruhusu kushindania wapi. Tutajaribu kuwatafuta tuulize na majibu tutayaleta hapa.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vigezo-vipi-hutmika-kuchaguliwa-kuwania-tuzo-za-swahili-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 51353 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vigezo-vipi-hutmika-kuchaguliwa-kuwania-tuzo-za-swahili-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vigezo-vipi-hutmika-kuchaguliwa-kuwania-tuzo-za-swahili-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vigezo-vipi-hutmika-kuchaguliwa-kuwania-tuzo-za-swahili-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vigezo-vipi-hutmika-kuchaguliwa-kuwania-tuzo-za-swahili-fashion-week/ […]