Wabunifu Viktor & Rolf wameweka headlines katika Dunia ya mitindo baada ya ku-showcas collection yao inayoitwa Late Stage Capitalism Waltzโ, ambapo katika collection hio kulikuwa na magauni yanaelea. Magauni haya yalibuniwa na kuvaliwa kwa namna ya kipekee, ambapo yalikuwa hayapo mwilini bali yalishikiriwa na gauni lingine lililovaliwa na model na kuyafanya yaonekane kama yanaelea
katika ukurasa wao wa Instagram wabunifu hawa wameandika “Today we unveiled our new Haute Couture Spring/Summer 2023 collection โLate Stage Capitalism Waltzโ. Floating gowns, evoking an abstract sense of surrealism, are layered on structurally sculpted corsets ๐ธ by @teampeterstigter #viktorandrol

lakini collectin haikuwa na mavazi hayo tu yalikuwepo mengine yaliyoshonwa kawaida na yenye rangi za kupendeza, tunadhani wabunifu Tanzania ni muda wenu wa kuanza kuumiza kichwa.

Anyways mates mmeuonaje ubunifu huu?
Kylie Jenner & Irina Shayk Twinning Moment At Paris Fashion Week
Related posts
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda seโฆ https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…