SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Viola Davis Amevaa Vazi Hili La Kitenge Katika Golden Globes Awards
Mitindo

Viola Davis Amevaa Vazi Hili La Kitenge Katika Golden Globes Awards 

Ikiwa usiku wa kuamkia leo kulikuwa na Tamasha kubwa lijulikanalo kama “Golden Globes” tamasha hili huwa linahusisha kiwanda cha movie, watu mbalimbali walionekana kuhudhuria ikiwa wengine waliamua ku-attend huku wengine waliamua kuvaa tu mavazi na kutulia nyumbani kutoka na janga la corona.

Muigizaji Viola Davis yeye alionekana akiwa amevalia vazi hili kutoka kwa mwanamitindo ambae ambae anatokea Cameroon, LaviebyCk.

Gauni lilikuwa ni mermaid off shoulder yenye statement sleeves, ambapo alimalizia muonekano wake kwa ku-rock her natural hair, accessories na nude makeup

LaviebyCk ni mbunifu ambae mara nyingi tumeona akibuni mavazi kutumia vitenge ni signature yake na amewavalisha watu maarufu wengi akiwepo Janet Jackson, Tracee Ellis RossĀ  na wengine wengi.

Tafadhali tuachie maoni yako hapo chini kuhusu muonekano huu wa muigizaji Viola katika Golden Globes Awards

Related posts

3 Comments

  1. use this link

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/viola-davis-amevaa-vazi-hili-la-kitenge-katika-golden-globes-awards/ […]

  2. mushroom shop Portland

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/viola-davis-amevaa-vazi-hili-la-kitenge-katika-golden-globes-awards/ […]

  3. Ventilatoare de acoperis

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/viola-davis-amevaa-vazi-hili-la-kitenge-katika-golden-globes-awards/ […]

Comments are closed.