SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Virgil Abloh Alivyo Debut Collection Yake Ya Kwanza Kama Artistic Director Wa Louis Vuitton’s Menswear Collections
Mitindo

Virgil Abloh Alivyo Debut Collection Yake Ya Kwanza Kama Artistic Director Wa Louis Vuitton’s Menswear Collections 

Mbunifu kutoka Ghana Argil Abloh mwezi wa tatu mwaka alichaguliwa kuwaArtistic Director Wa Louis Vuitton’s Menswear Collections, Argil ambae alipata nafasi hii baada ya aliyekuwa katika nafasi hio kuondoka kwenda kufanya kazi katika fashion house nyingine, Argil hakuwahi kufanya kazi katika fashion house kubwa yoyote na hii ni mara yake ya kwanza. Wengi tulielekeza jicho letu katika Paris Fashion Week kuona nini kipya Argil atatuletea na kutakuwa na utofauti gani

Well kama ukiangalia hii collection utajua kabisa kuna u-freshness on it, kuanzia rangi, finishing na style.

Vitu vitatu vikubwa tulivyo viona kutoka katika hii collection ni kwamba  huitaji kubeba mzigo wa fanny pack kiunoni au hata mkoba maana zimewekwa kwenye mavazi moja kwa moja

Colorful ukiongelea Louis Voitton ni mara chache kuona wame weka rangi sana katika collection zao, lakini katika hii collection rangi ni nyingi tena zina shout hasa. again perfect for summer / spring

Katumia Batik au Tye & Dye, kwetu tunaiwekaa kama katoka Africa ame represent uAfrica lakini pia batiki ni vazi nzuri la summer/ spring kutokana na michoro na rangi zake

 

Watu maarufu wengi walijitokeza ku support akiwepo

Rihanna

Bella Hadid

 

Kimye ” Kim & Kanye”

Kylie Jenner na Bestfriend wake

Tuambie how do you feel about this collection je Lv ime improve au?

Related posts