SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Vitu 3 Vya Kuzingatia Msimu Huu Wa Mvua
Mitindo

Vitu 3 Vya Kuzingatia Msimu Huu Wa Mvua 

Ni msimu wa mvua kwa wenzetu kipindi kama hiki ana safisha kabati lake na kuleta mavazi ambayo yanaendana na season, well kwa hapa kwetu season ni mbili ama tatu inategemea na mwaka, kuna miaka mingine mvua hakuna kabisa au zinachelewa kuanza tofauti na huko duniani (lol), mwaka huu tumebarikiwa mvua inanyesha hasa inawezekana hukuitagemea ( kama sisi), lakini kuna vitu baadhi lazima uwe navyo kwenye kabati lako ambavyo unaweza kuvitumia msimu huu.

 • Achana na heels na vaa flats more – huwezi kutembelea viatu virefu na hii mvua kuna sehemu utahitaji kuruka, kukimbia lakini pia na haya matope na heels inawezekana kweli? nope unless uwe una tembele four wheels lakini kama kazi zako nyingi ni za kutembea kwa mguu basi pumzisha viatu virefu kwanza¬†

 

 • Mwamvuli au mfuko wa rambo – kama kuna kitu ambacho wanawake wana kiheshimu na kukitunza ni nywele zao, wapo radhi kulowa mwili lakini si nywele, mfuko ndipo unapo tokea hapo lakini ni vyema zaidi ukabeba mwavuli ili ukukinge na mvua na mavazi yako pia.

 • Long Coats – huu ndio ule muda wa kutoa long coats zetu na kutamba nazo mjini, zi style vizuri na angalia urefu wake usije kuzoa tope barabarani.

Kujua vitu gani vya urembo ambavyo hutakiwi kukosa kuwa navyo msimu huu soma hapa

 

Related posts

5 Comments

 1. psychedelic mushroom chocolate bars legal in washington

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-3-vya-kuzingatia-msimu-huu-wa-mvua/ […]

 2. weed delivery toronto

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-3-vya-kuzingatia-msimu-huu-wa-mvua/ […]

 3. This Site

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-3-vya-kuzingatia-msimu-huu-wa-mvua/ […]

 4. weed delivery Toronto

  … [Trackback]

  […] Here you can find 67865 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-3-vya-kuzingatia-msimu-huu-wa-mvua/ […]

 5. Locksmith Glassboro

  … [Trackback]

  […] Here you will find 29324 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-3-vya-kuzingatia-msimu-huu-wa-mvua/ […]

Comments are closed.