SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Vitu 4 Vinavyoweza Kusaidia Muonekano Wako Kuwa Stylish
Mitindo

Vitu 4 Vinavyoweza Kusaidia Muonekano Wako Kuwa Stylish 

Huitaji nguvu nyingi kwenye mavazi kuonekana stylish, wengi wetu huwa tunadhani kuonekana stylish basi tuvae vitu vingii, au tuvae trend outfits kumbe unahitaji kujua vitu hivi vinne ambavyo vinaweza kufanya muonekano wako hata kama ni simple kuonekana stylish.

  • Lipstick

Lipstick inaweza kuubeba muonekano wako kwa kiasi kikubwa sana iwe bold au simple inaleta mvuto katika uso wako lakini pia kunogesha muonekano, hata kama si mpenzi wa lipstick paka lipbalm kufanya midomo yako ivutie.

  • Statement Shoes

Iwe heels au flats haijalishi hakikisha ni visafi na vina catchy eyes iwe kwa muundo au rangi, viatu vikiwa vya hovyo basi uharibu muonekano mzima. Hakikisha sio tu viatu vizuri bali pia ni visafi.

  • Add Layer To Your Look

Tuliongelea kuhusu the 4th piece hii ni extra piece ambayo wengi wetu huwa hatudhani kama ni muhimu, na hapa ndipo ma-stylish wengi wanapotuacha nyuma ambapo wao huwa wana cha ziada yaani mfano blazer, jacket, denim coat, kimono etc.

Vipande Vinavyo Kamilisha Muonekano

  • Vaa Accessory

Iwe saa. mkanda, handbag, hereni, mkufu, bangili, miwani etc chochote ambacho kinaendana na muonekano wako na mahali ambapo unaenda kitasaidia kunyanyua muonekano wako na kufanya uonekane stylish

Related posts

3 Comments

  1. Where to buy magic mushroom online Perth

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-4-vinavyoweza-kusaidia-muonekano-wako-kuwa-stylish/ […]

  2. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-4-vinavyoweza-kusaidia-muonekano-wako-kuwa-stylish/ […]

  3. 토렌트 사이트

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-4-vinavyoweza-kusaidia-muonekano-wako-kuwa-stylish/ […]

Comments are closed.