Kunavitu huwa tuna ng’ang’ania katika makabati yetu na havina hata kazi ili mradi tu inawezekana una historia navyo au unavipenda, well leo tunakupa vitu 5 ambavyo unatakiwa kutupa au kugawa kutoka katika kabati lako kwasasa.
- Pieces that aren’t you
Inawezekana kwasasa upo katika umri mwingine, inawezekana umeongezeka au kupungua uzito, inawezekana style yako imebadilika ila kuna yale mavazi ulikuwa nayo zamani na bado umeyang’ang’ania yapo kwenye kabati our good sister/brother yatupe upate nafasi ya kuweka yale mavazi ambayo yanakufaa kwasasa.
- Mavazi yasiyokutosha
Yawe yanakubana au ni makubwa na hauna muda wa kuyapeleka kwa fundi, tunakushauri ugawe, utapata hamu ya kuvaa kisha ukaenda kutia aibu huko utakapopita, yatoe yabaki yale ambayo yanakutosha vyema.
- Vazi ulilonunua bei ghali na hulivai
Inawezekana ulinunua kwakuvutiwa nalo na ulipo lijaribu ukaona halijakukaa vyema au inawezekana ulishinikizwa tu kununua na wala hukulipenda, let that fit go… achana na jamani hata sijaivaa pesa yangu, fanya kama umetoa sadaka au liuze kwa ndugu na marafiki zako urudishe hata nusu hasara ya uliyonunulia.
- Vitu ulivyonunuliwa na Ex wako
Tupa hata usigawe ukaliona tena, tupa au choma moto.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-4-vya-kutoa-kutoka-katika-kabati-lako-sasa/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-4-vya-kutoa-kutoka-katika-kabati-lako-sasa/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-4-vya-kutoa-kutoka-katika-kabati-lako-sasa/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-4-vya-kutoa-kutoka-katika-kabati-lako-sasa/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-4-vya-kutoa-kutoka-katika-kabati-lako-sasa/ […]