SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Vitu 5 Ambavyo Havikosekani Katika Bag Ya Tiwa Savage
Mitindo

Vitu 5 Ambavyo Havikosekani Katika Bag Ya Tiwa Savage 

Mwanamuziki kutoka Nigeria Tiwa Savage ambae kwasasa anatamba na wimbo wake wa somebody’s son ameshare vitu vitano ambavyo huwezi kuvikosa katika handbag yake. Katika episode yake ya CATCHING UP WITH TIWA: Episode 1/5, Tiwa ametaja vitu hivyo ambavyo ni cell phone, charging wire, lip gloss, perfume and face mask.

well unaweza kuangalia video hapo chini kisha utuambie Je? ni kitu gani hakikosekani katika bag yako?

Related posts