SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Vitu 5 Vinavyofanya Muonekano Wako Uonekane Cheap
Mitindo

Vitu 5 Vinavyofanya Muonekano Wako Uonekane Cheap 

Unaweza kuvaa vitu expensive au hata vya bei rahisi ukapendeza, lakini kuna vitu ambavyo ukivivaa au ukavifanya hata kama ukiwa umevaa vazi la mamilioni bado unaonekana cheap. Yes na wengi wetu huwa tunajisahau na kufanya haya makosa.

 • Nywele mbaya

Nywele zinaweza kufanya muonekano wako kutoka kwenye 100 kurudi kwenye 30, ni moja kati ya essentials ambazo unatakiwa kuziwekea umakini sana. Kama ni mpenzi wa nywele za bandia basi hakikisha unanunua zenye quality nzuri, ambazo unaweza kuzisafisha na ku-style mara nyingi uwezavyo kama ni mpenzi wa nywele zako mwenyewe basi jaribu kuwa unaziosha mara kwa mara unasuka na kuzi-style vyema.

 • Kuvaa rubber band mkononi

Kuna rubber band na culture hizi huwa zinashusha sana muonekano, kwenye rubber band kama umezitoa kwenye nywele hakikisha unaweka kwenye handbag usivae mkononi na swala la culture tunadhani unaweza kuvaa a good bracelet ukapendeza.

 • Manukato

Kuna kunukia kupitiliza huku kunaweza kuharibu muonekano wako, lakini pia kuna kunukia vibaya napo panaharibu muonekano. Hakikisha unaoga vyema, kuwa na perfume yako ambayo inakufanya unukie kama rich au expensive person that you are. Kumbuka kuvaa nguo za ndani ambazo ni safi pia.

 • Rangi za kucha zilizo banduka

Unapaka rangi inaanza kubanduka bado unaendelea kukaa nayo, hata uvae nguo za mamilioni kama una chipped nails zinaharibu kabisa muonekano, hakikisha kama rangi ya kucha imeanza kutoka unaitoa yote na kupaka nyingine au kuwa na natural nails zako ambazo umezisafisha vyema

 • Viatu

Invest in shoes, we repeat invest in shoes yaani kiatu ni number moja kwenye swala zima la kuharibu muonekano, unaweza kuvaa simple outfit ukavaa na kiatu kizuri kikabeba muonekano mzima na unaweza kuvaa outfit nzuri ukavaa na kiatu kibaya kikashusha muonekano from 100 to 0. Nunua viatu vyenye quality, rangi na design nzuri.

Related posts

6 Comments

 1. site link

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-5-vinavyofanya-muonekano-wako-uonekane-cheap/ […]

 2. Buy Magic Mushroom in Brisbane

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-5-vinavyofanya-muonekano-wako-uonekane-cheap/ […]

 3. top article

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-5-vinavyofanya-muonekano-wako-uonekane-cheap/ […]

 4. visit the site

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-5-vinavyofanya-muonekano-wako-uonekane-cheap/ […]

 5. bandar togel

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-5-vinavyofanya-muonekano-wako-uonekane-cheap/ […]

 6. meja 365

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-5-vinavyofanya-muonekano-wako-uonekane-cheap/ […]

Comments are closed.