SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

VITU BASIC VYA KUZINGATIA KWA WAKAKA KATIKA MIONEKANO YAO
Mitindo

VITU BASIC VYA KUZINGATIA KWA WAKAKA KATIKA MIONEKANO YAO 

Twaonana na wakaka mbalimbali lakini waweza kuta kapendeza kote ila kuna kimoja kakosea na kuufanya muonekano wake kutopata asilimia zote 100. So kwa maeneo haya machache, yataboresha muonekano wako. Iwe ni full kupendeza na kutokelezea mchizi wangu.

NDEVU

Wakaka wengi hufuga ndevu lakini kwa baadhi yao hugeuka kichaka. Kwa apendaye ndevu, hakikisha unaziweka katika hali ya usafi na size inayofaa. Too much inachukiza na huondoa mvuto wako. So hakikisha utokapo out zinachanwa na kupendeza.

SOCKS NA MIKANDA

Japo weaweza vipuuzia lakini bro hivi pia ni muhimu katika kuukamilisha muonekano wako. Kwa suruali itakao uvae mkanda basi nunua hata mmpoja wa ngozi safi ili uweze kuwa nadhifu. Na socks, hapa tungekagua wengi tungejionea maajabu. Socks ikichanika achana nayo plus nunua cotton socks za ranfi mablimbali ili kunogesha muonekano wako. Zipo maalum pia kwa ajili ya mazoezi so zingatia hili.

NYWELE

Kuwa na haircut pale unapoona nywele zako zipo katika size usiyoitaka. Usisubiri mpaka utazamwe kila kona ndio ushtuke. Plus a nice haircut hata uhandsome unaongezeka maze. So tunza nywele zako.

VIATU

Hakikisha una pair mbili tatu kuepusha kutumia kiatu cha mahala pasipofaa. Kuna viatu kwa ajili ya ofisnini, mazoezini, mitoko ya jioni, beach na maeneo mengine ambapo waweza vaa sneakers ama sandals za aina yoyote. Pia ni vizuri kumiliki open shoes ama sandals ili kuweza kuiacha miguu yako ipumue toka kuvaa viatu vya kufunika muda mwingi.

ACCESSORIES KAMA SAA NA WALLET.

Aisee, baadhi huva saa mbovu, zilizopauka ili mardi aonekane amevaa saa. Hii haifai. Nunua mpya nzuri au rekebisha. Hihitaji iwe ya gharama sana ila muonekano wako utapendeza. Na wallets bro, iwe nzuri ati sio unakuwa washindwa hata itoa mbele ya watu kisa yafanana kama aliraruriwa nap aka. Jipende bro!

PICHA

 

Related posts

1 Comment

  1. Best Psychedelic Store Melbourne

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-basic-vya-kuzingatia-kwa-wakaka-katika-mionekano-yao/ […]

Comments are closed.