new year New Trends, New year New Designings na mwaka ujao hivi ndivyo vinavyo onekana kuisha trendy na kuwa replaced na toleo jipya la kitu kingine
KWA HERI CHOKERS
Chokers zime trendy sana 2016 ni muda wa kusema goodbye to them na kuwa creative, vaa metal necklace moja kubwa uki match na nyingine ndogo ndogo
KARIBU NATURAL NA KWA HERI CONTOURING
Kwa kweli ilikuwa hectic hasa kwetu sisi tusio jua maswala ya makeup mwakani tume kombolewa ina onekana mwakani natural face ndio ita trend. Nunua powder inayo endana na rangi yako na paka when needed
NUNUA VELVET COAT BADALA YA DENIM
Valvet ina make a come back tumeanza kuiona mwishoni wa mwaka huu na inaonekana kuendelea kuwepo 2016, kwa inavyo semekana Valvet inaendana na kila kitambaaa cha nguo iwe satin,eather, tweed, auĀ suede, Jaribu kuwa mbunifu wakati wa ku combine nguo zako na koti la valvet
CLASSIC SKIRTS BADALA YA TUTU SKIRTS
Mwakani tutaona more of classic skirt (pencil skirts & Pleated skirts) Tutu zimesha anza kupotezwa na trendy hizi mbili, & we are here for this mwakani its all about being classy meeeen
PUMPS BADALA YA WEDGE NA SNEAKERSĀ
Sidhani kama some of us tutaweza ku trade sneakers kwa pumps, ila mwakani unaambiwa ni kuwa classic tu so kama bado huna pumps better uende ukanunue kwa sababu pumps are new sneakers 2017
Wasiliana nasi kupitia
Instagram _ afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…