SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Vitu Vya Kutarajia Kutoka Katika Style Za Jokate Baada Ya Kupata Cheo Kipya
Mitindo

Vitu Vya Kutarajia Kutoka Katika Style Za Jokate Baada Ya Kupata Cheo Kipya 

Jokate amekuwa mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, lets say Jokate ni moja ya wanadada ambao wana prove you can do it all kama umeweka nia, alianza na u-miss, akawa model, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na vingine vingi, sasa ameamia kwenye siasa, Well done Jokate you real are a inspiration. Leo tunakuletea Vitu Vya Kutarajia Kutoka Katika Style Za Jokate Baada Ya Kupata Cheo Kipya

Baada ya Jokate kuchukua cheo hiki ameonekana ku-delete post zake zote katika kurasa wake wa Instagram ( starting fresh) kitu ambacho ni sawa kufanya kutokana na kwamba hiki cheo kinahitaji uonekane more powerful kuliko kule ambapo amepita, well jambo moja muhimu ambalo Jokate atalifanya katika muonekano wake mpya ni kubadilisha ule muoenekano na kuwa more “powerful” kuwa presentable zaidi na kuacha zile style za bongo movies.

  • Signature look 

Hata kabla ya kuwa Mkuu wa Wilaya Jokate alisha anza kubadilisha muonekano wake, alianza kuvaa hizi dress fupi, well nicely done & colorful akiingia unajua kabisa huyu ni mtu fulani hili eneo, but again alikuwa anavaa suit’s nzuri so kitu cha kwanza ambacho Jokate amefanyia kazi ni kuwa na signature look. Kama ukiwaangalia wanawake wengi waliopo katika siasa au wake wa wanasiasa hasa huko kwa wenzetu wana signature na powerful look eg Melania Trump & Michelle Obama.

  • Msisitizo katika Ubora ( Emphasis On Quality)  

Kama mwanzo Jokate alikuwa anavaa tu kitu alimradi kitu sasa hivi itakuwa tofauti atakuwa anaangalia sana katika ubora wa mavazi anayo yavaa, well this is a must kwa watu ambao wana power katika jamii, ndio maana ukiangalia wabunge, mawaziri wengi huwa wanavalishwa na wabunifu wakubwa ambao wapo vizuri katika kazi zao. Lakini ukiachana na kuvaa yanayo shonwa na wabunifu pia hununua mavazi na kuyatengeneza kuwa bora kuwa tosha kulingana na hadhi yao, lets say Jokate alishaanza kutupa hints

 

  • Rangi Za Giza ( Darker Color) 

There is something about darker colors that say power, kama ukiangalia ma rais, wabunge mawaziri wengi huwa wanavalia mavazi ambayo hayana rangi za ku-shout wengi huvalia dark blue, black au deep gray, kama ambavyo tulimuona Jokate akiwa anaenda kuapishwa alivalia suit nyeusi kutoka kwa mbunifu Kitupe lakini pia katika sherehe ya mtoto wa Zamaradi Jokate aliattend akiwa amevalia dark blue outfit ( she takes notes and a quick learner)

 

  • Kuwa wa tofauti / ongezea rangi katika outfit yako ( color contrast)

Unaweza kuvaa vazi ambalo lina rangi ambazo ni nyeusi, ukaongezea na accessories, kiatu au koti la rangi,that contrasts is giving us power hivi karibuni Jokate alionekana akiwa amevalia suruali nyeusi na blouse nyeupe akaongezea na pink blazer (power)

Hivi ni vile ambavyo sisi tumeviona na kujaribu kuchunguza kutokana na uelewa wetu katika mitindo, unaweza kutumia tips hizi hata kama hauna cheo kikubwa sehemu fulani, kama ungependa kuonekana more powerful kazini kwenu, katika familia etc then tumia hizo tips.

 

Related posts

2 Comments

  1. Adult Web Cams Featuring Females Over 60

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-vya-kutarajia-kutoka-katika-style-za-jokate-baada-ya-kupata-cheo-kipya/ […]

  2. ประกันรถยนต์ ราคา

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/vitu-vya-kutarajia-kutoka-katika-style-za-jokate-baada-ya-kupata-cheo-kipya/ […]

Comments are closed.