Miss Tanzania 2016/2017 amesha fika New York City zamani ana kama week hivi toka afike, yupo huko kwa ajili ya kutuwakilisha katika mashindano ya Miss World. Diana amekuwa akifanya kila aliwezalo kutupa habari ya nini kina endelea na pia kwa muda mchache alio kuwepo huko ame weza kuwa fundisha ma miss wengine kiswahili, we are proud of her
Na haya ni mavazi yake akiwa huko
Pink Sheer dress japo haja simama ila we can tell Diana ame pendeza kwenye hili gauni
we love hii red dress kapendeza mno gauni ime mfit vizeuri, hair style na make up on point kama huja notice Diana ame vaa Masai head band na Masai hereni
hii blue Velvet Dress nayo ni moto, the color suits her perfectly
Mini Skater White Dress simple & Chic
Diana akituonyesha what her mama gave her, she is feeling her self and we like it
Endelea kumpigia kura Diana kwa kufuatisha step chache kama uonavyo kwenye picha hapo chini
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…