SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wabunifu 6 Wa Kuwaangalia Mwaka 2019
Mitindo

Wabunifu 6 Wa Kuwaangalia Mwaka 2019 

Mwaka 2018 tumejionea vipaji vipya katika tasnia ya mitindo na mabazi ambapo wabunifu wameendelea kukuwa na kuweza kuteka soko hapa Tanzania. Well, Afroswagga imeweza tazama wabunifu waliochipukia na kufanya vizuri mwaka 2018 ambapo twategemea kuona mambo makubwa zaidi mwakani na hata miaka ijayo.

Safari yake ilianza 2015 aliposhinda the Washington Bella Emerging Designers Competition katika Swahili Fashion Week na ameendelea kufanya vizuri akiwavalisha Miss Grand Tanzania katika nyakati tofauti. Pia collection yake katika SFW 2018 akitumia kitenge, alivutia wengi.

Ikisimamiwa na vijana, Nelson Erasto na William Stephen wameweza kukua na kufanya vizuri tokea mwaka 2016 especially read to wear outfits zao for both men and women. Always wameweza kustick na uAfrika katika ubunifu wao na collection yao katika SFW 2018 hakika utatamani each piece uvae maana zilikuwa on point kwa hakika.

Ni moja kati ya wabunifu ambao katika SFW 2018 waliteka nyoyo za wengi hata Afroswagga pia. The collection “BE THE TALK” imeonyesha ukomavu katika ubunifu wake na kwa hakika 2019 twatabiri na kusubiri mengi mwakubwa toka kwake.

Chebah na Josh ni wabunifu wa mavazi ya kiume na mwaka huu utajapo wabunifu wa suits nzuri za kiume huwezi acha wataja CJ. Hakika pale upendapo unachofanya huwa chawa chema na chenye kupendeza na C&J wametuonyesha hili katika ubunifu wao.

Mbunifu Amedeus Chuwa ameendelea kuoneysha ukomavu katika kazi zake. His designs zamtambulisha mvaaji kama a modern African iwe mdada ama mkaka, utatoke aukiwa freshly slaying. Pia his mix ya African prints katika nguo, accessories, mabegi, socks na vinginevyo vyavutia kwa hakika.

 

Emmanuel Kisusi, 2017 aliweza ibuka mshindi wa the Washington Bella Emerging Designers’ Competition katika Swahili Fashion Week na hii twaona imemuwezesha kukua. His designs zina muonekano wa kipekee, perfectly cut and tailored na collection yake katika SFW 2018 imeendelea kuthbitisha hili.

2019, hakika twatarajia makubwa katika tasnia ya ubunifu na mitindo.

Imeandikwa na @willibard_jr

Related posts

6 Comments

 1. index

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wabunifu-6-wa-kuwaangalia-mwaka-2019/ […]

 2. ufabet

  … [Trackback]

  […] There you will find 11877 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wabunifu-6-wa-kuwaangalia-mwaka-2019/ […]

 3. Guaranteed healthy puppies for sale in wyoming

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wabunifu-6-wa-kuwaangalia-mwaka-2019/ […]

 4. เย้เย้

  … [Trackback]

  […] There you will find 88253 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wabunifu-6-wa-kuwaangalia-mwaka-2019/ […]

 5. dmt vape pen https://exotichousedispensary.com/product/dmt-vape-pen/

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wabunifu-6-wa-kuwaangalia-mwaka-2019/ […]

 6. interieuradvies aalten

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wabunifu-6-wa-kuwaangalia-mwaka-2019/ […]

Comments are closed.