SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wabunifu Wa Kiume Wanaokuja Kwa Kasi 2018
Mitindo

Wabunifu Wa Kiume Wanaokuja Kwa Kasi 2018 

2017 tulijionea wabunifu wengi wa mavazi ya kiume wakiibuka na hakika twafurahia kuona mapinduzi haya yakiendelea katika kuboresha men’s fashion industry in Tanzania. Wamekuwepo wakongwe waliozoeleka kama akina Martin Kadinda, Ally Remtullah na Sheria Ngowi lakini leo twakuletea chipukizi ama upcoming men’s wear designers wanaokuja kwa kasi na wakuangaliwa katika mwaka huu wa 2018.

  1. Mtani Bespoke

Safari yake ya ubunifu ilianza kitambo kidogo lakini miaka ya karibuni amejizolea umaarufu mkubwa kwa kazi zake. Amekuwa akimvalisha mchekeshaji na muigizaji Idris Sultan pamoja na watu wengine maarufu nchini na na kwa hakika suits zake ni za kipekee.

Pia mwaka 2017 aliweza kulaunch brand yake ya viatu vya Mtani Bespoke ambavyo pia ni imara na venye kuvutia

Hakika ni mbunifu ambaye twategemea kuona makubwa zaidi kwa mwaka huu wa 2018 akivuka mipaka ya Tanzania.

 

  1. Dominik Godfrey

Ni graduate wa sheria mabaye amejikita pia katika ubunifu wa mavazi ambapo suits zake hasa kwa graduates wengi zimeonesha kuvutia wengi. Pia Dominik hubuni majoho kwa ajili ya wanasheria wamalizao law school hivyo one can get a customized  gown aipendayo.

Kilichotuvutia pia ni mashati yake, ni mazuri sana.

  1. J J Tailors

Walijizolea ummarufu baada ya kuanza kumvalisha msanii Dogo Janja na kwa hakika tulipenda mionekano mipya mbalimbali ya Dogo Janja ndani ya J J Tailors. Pia wameweza kujipanua na kuongeza ubunifu wa African Prints. Kwa wakaka hivyo mwenye kupenda kurock African prints kwa wakaka hata iwe ofisini, they are the guys.

  1. Urban Authentics Tz

Ni brand iliyotuvutia na kuwateka wengi kwa suti zake kali. Pia wasanii wa kundi la WEUSI tuliwaona wakivalia brand hii na hakika walirock.

Pia tulifurahishwa na ubunifu katika uchaguzi wa rangi maana waliweza kuplay na rangi mablimbali. Hopefully, 2018 tunaona vikubwa zaidi kutoka kwao

  1. Frank Manyama

Frank ni mbunifu toka Arusha lakini anayekuja kwa kasi katika ubunifu wa mavazi ya kiume. 2017 aliweza kuwavalisha wasanii Izzo Bizness na G Nako na hapo kujipatia umaarufu wa kazi zake.

 

Hivyo twatari kujione avikubwa vingi kutoka kwake.

Imaendikwa na @willibard_jr

Related posts

5 Comments

  1. Penhaligon's Perfume

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wabunifu-wa-kiume-wanaokuja-kwa-kasi-2018/ […]

  2. buy benelli firearms

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wabunifu-wa-kiume-wanaokuja-kwa-kasi-2018/ […]

  3. 티비위키

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wabunifu-wa-kiume-wanaokuja-kwa-kasi-2018/ […]

  4. Testing Automation framework

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wabunifu-wa-kiume-wanaokuja-kwa-kasi-2018/ […]

Comments are closed.