SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WAKAKA, JINSI YA KUMAINTAIN KABATI LAKO 2017
Dondoo

WAKAKA, JINSI YA KUMAINTAIN KABATI LAKO 2017 

 

Well mwaka 2017 umeanza na kwa wakaka huwa ni shida sana kuwa na kabati lenye nguo na accessories sahihi hivyo kujikuta mtu kuvaa nguo zisizovutiana pia kauka nikuvae kama ilivyozoeleka kwa baadhi ya wanaume. Ila sasa leo tunakuletea zile essentials ambazo wanaume ama brothermens out there mnaweza kujifunza ili kuweza kuonekana mtanashati na mwenye upekee.
Tuanze na essentials za ndani ambazo ni some good boxers na vests nyeupe maana usafi ni kila kitu. Pia mkanda na socks. Note that socks are meant to be fun so chagua rangi na prints nzuri vest,boxers, mikanda na socks
Then inakuja denim. Anything denim yaani jeans ni lazima na hizi zinaendana a good pair of sneakers na sandals. jeans za blue grey na nyeusi

Then kwa wale wenye ndevu usafi ni jambo la muhimuhivyo some good products are a must maana hamna mwanamke apendaye mwanaume mwenye mindevu ya hovyo.

 

Pia tshirts. Hapa any polo tshirts are a must have maana hizi zaweza kuvaliwa na kila aina ya nguo iwe kaptura nzuri, jeans hata cadet.

Then tuje kwenye  accessories kwa wanaume. Hapa wengi hukosea na kuvaa vitu vingi mkononi hadi kuleta karaha. Maana mara cultures za rangi nyingi zisizovutia ila simplicity is the key. So saa nzuri na bracelets simple za kiume zafaa na zinaweza kuendana na occasion yoyote.

 

saa ziwe za both silver gold na leather.bracelets zinaweza kuwa kama za uru ama suave jewelry
Pia katika haya chaguo la rangi ni muhimu huku nyeupena nyeusi ikiwa ni a must. Rangi nzuri ambazo
zawapendeza wakaka wengi ni brown,blue, red etc.
Article credit @willibard_jr
.

Related posts

5 Comments

 1. Buy DMT Powder Online Melbourne

  … [Trackback]

  […] There you can find 96495 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wakaka-jinsi-ya-kumaintain-kabati-lako-2017/ […]

 2. แทงบอล

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wakaka-jinsi-ya-kumaintain-kabati-lako-2017/ […]

 3. 무료 영화 다시보기

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wakaka-jinsi-ya-kumaintain-kabati-lako-2017/ […]

 4. agic mushrooms in pennsylvania​

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wakaka-jinsi-ya-kumaintain-kabati-lako-2017/ […]

 5. สล็อต ฝากถอน true wallet เว็บตรง 888pg

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wakaka-jinsi-ya-kumaintain-kabati-lako-2017/ […]

Leave a Reply