SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wakati Sekta Ya Mitindo Bado Inalega Lega Je Tunahitaji Beef Kati Ya Wolper Na Basilla?
Mitindo

Wakati Sekta Ya Mitindo Bado Inalega Lega Je Tunahitaji Beef Kati Ya Wolper Na Basilla? 

If you ask us Basilla na Wolper ni wanawake ambao sasa hivi wana wakilisha wanawake wengine wengi katika sekta ya mitindo, Jacqueline Wolper anatajwa na tulisha matabiria kuwa mbunifu mzuri endapo tu kama atarekebisha vitu kadhaa lakini pia katika upande wa wanawake wabunifu kwa sasa yeye ndio ameshikiria radar

, wakati Basilla yeye alikuwa ombi la wengi katika sekta ya mitindo hasa katika miss Tanzania, ana nafasi kubwa sana na tungependa kuona anainua wengine ukiachana tu na hawa ma-miss

Kwetu sisi tuliona hawa wawili wakishikana mikono basi tutakuwa na kitu kikubwa sana katika Tasnia na mapinduzi katika mitindo lakini tofauti na mategemeo ya wengi wao wamekuwa mahisimu wakubwa kwa kitu ambacho wangekaa chini na kuelekezana na kujua namna ambavyo wanaweza kumaliza tofauti zao, na kuweka hii sekta katika sehemu nzuri.

Tumekuwa tukiona wakijibizana katika mindao ya kijamii mara kwa mara na ni kitu ambacho kina muharibia kila mmoja wao kwa namna moja au nyingine,

okay imeshindikana kabisa kumaliza tofauti zenu basi kila mmoja ashike lake ajue namna gani ata lifikisha mbali kuliko kukaa kujibizana mitandaoni kila mtu anaona na inazidi kufanya sekta ya mitindo kuonekana hovyo lakini pia kuonyesha jinsi gani wanawake hawapaswi kuwekwa katika position nzuri na kujiaibisha, sisi kama afroswagga tunasema this has to end kwa sababu haileti picha nzuri.

 

Related posts