SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WAMEZITENDEA HAKI AU LAH?
Mitindo

WAMEZITENDEA HAKI AU LAH? 

BallerAlertHitorMissRihannaWearingVivienneWestwoodRedLabelBubblegumPinkDressandChristianLouboutinSuedePumps

Rihanna ametambulisha manukato yake mapya RiRi akiwa amevalia kigauni cha pink ambacho kime buniwa na Vivienne Westwood ambacho kilionekana kwenye Runway ya Fall 2015 iliyo pewa jina  Red Label Fall 2015. Je amekitendea haki kivazi hiki?

selena

Selena Gomez nae hakua nyuma katika kutuonyesha umahiri wake kwenye mitindo ambapo alionekana kavalia gauni juesi lilibuniwa na gabriela cadena kwenye msimu wa  fall 2015. ambapo kwenye Runway gauni hii ilivaliwa na boots wakati Selena yeye ameivaa na makobazi ya wazi.

Rita-Ora-In-Alexandre-Vauthier-Couture-2015-MTV-Video-Music-Awards-VMAs

Inawezekana usiwe unapenza sana nyimbo zake lakini inapokuja kwenye mitindo Rita Ora ana jua afanyacho katika kukabidhi  Tuzo za VMAs Rita alivaa gauni jeupe na viatu virefu vya rangi ya almasi, gauni hii ilionekana kwenye runway ya Alexandre Vauthier ambayo iliitwa Alexandre Vauthier Fall 2015 Couture. Katika Runway mwanamitindo alivaa gauni hili na viatu vyeupe huku akiwa ameachia nywele wakati Rita Ora alibana nywele zake na kuvaa viatu vya rangi ya Almasi. Inaoneka Fringe ndo mtindo ulioingia mwezi huu.

dora

Bella Thorne yeye alivalia pencil sketi kutoka  Moschino Resort 2016

unnamed

Dania Ramirez VMAs alivalia gauni kutoka  Dora Abodi Spring 2015  ambayo iliitwa Printed Halter Dress, ambapo yeye aliongezea mkanda wa tumboni mweusi ambao uliendana na rangi ya viatu vyake.

 

Related posts

4 Comments

 1. psychologist bergen county nj

  … [Trackback]

  […] There you will find 6576 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wamezitendea-haki-au-lah/ […]

 2. anonymous

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wamezitendea-haki-au-lah/ […]

 3. click here to find out more

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wamezitendea-haki-au-lah/ […]

 4. Dave T Bolno

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wamezitendea-haki-au-lah/ […]

Leave a Reply