SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wanamitindo 8 Walifanya Vizuri 2018
Mitindo

Wanamitindo 8 Walifanya Vizuri 2018 

Slay, baby, slay. Tasnia ya mitindo, tukifocus katika modeling imetoka mbali, enzi za Miriam Odemba na Frank Gonga na twaiona ikiendelea kukua ikiwa na machipukizi wengi wazuri kama Smayra Mohammed na Symon Poluse.

2018 tumejionea models wengi wakiweza fanya vizuri nasi tukaona ni vyema kuwatambua kwa kazi zao iwe katika commercials, runway na hata beauty pageants. With the girls tunao

Akiwa na umri mdogo katika hii tasnia ameweza fanya vizuri, akiipeperusha bendera ya nchi yetu katika mashindano ya Miss Grand International na kututeka nyoyo zetu na vazi lake la ubunifu toka kwake mbunifu Makeke.

 

Hakika ni moja ya models wenye catwalk matata sana na hata katika runway ya Swahili Fashion Week tuliweza muona akitawala kwa muondoko wake. Uso na urefu wakw pia wampa vigezo vyote vya kuwa mwanamitindo na twategemea kuona kazi zake akiwa amefanya na wabunifu mbalimbali kama Doreen Mashika kutoka Zanzibar.

 

  • Sia Pius – @sia.pius25
     Among models wakike ambao wameweza kujibrand na kutambulika basi Sia Pius ni miongoni mwao ambapo she has the looks pia catwalk nzuri.

Kila mwaka hakika Jihan ni miongoni mwa wanamitindo mabao hukuwa na kuweza ipaisha bendera ya nchi yetu. Twavutiwa na kazi zake, uzuri wake pia catwalk yake atembeapo katika runway.

MALE MODELS

Kijana mwenye ndoto kubwa katika tasnia hii siyekwamishwa na chochote, hata ugonjwa wake wa vitiligo. Ameweza wainspire vijana wengi kujiamini na kuzipigania ndoto zao. Hakika twamuona akifanya vikubwa zaidi 2019.

 

Moja ya wanamitindo wanaoendelea kufanya vizuri sana nchini. Commercially tumeona shoots afanyazo na kwa hakika ana the selling face and body. Ni kijana mpambanaji na twamuona akifika mbali zaidi.

Wengi wanaweza mtambua kupitia his ad campaigns alizofanya na Coca Cola lakini ana vingine vingi ambavyo twaviona kwake, vikimtambulisha kama mwanamitindo ikiwemo muonekano wake commercially.

  • Jaymes  Ayoub -@jaymes_aloub

    Ni mwanamitindo ambaye pia tumeona akiendelea kufanya vizuri katika tasnia hii na kazi zake nyingi tukiziona katika campaihn ads za makampuni mbalimbali oia katika runways Data Khanga na Swahili Fashion Week.

Imeandikwa na @Willibard_jr

 

Related posts

2 Comments

  1. live resin for sale

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wanamitindo-8-walifanya-vizuri-2018/ […]

  2. Magic mushroom capsule

    … [Trackback]

    […] There you will find 4516 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wanamitindo-8-walifanya-vizuri-2018/ […]

Comments are closed.