SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WANAMITINDO HAWA WAPATA AIBU YA MWAKA
Mitindo

WANAMITINDO HAWA WAPATA AIBU YA MWAKA 

Toka mwaka uanze tumesha ona fashion madness nyingi lakini hii ime vuka mpaka, wana mitindo hawa kutoka Italy (italia) wali onekana katika tamasha la Venice Film Festival, Ni jambo moja kuchagua nguo ya kuvaa na ni jambo lingine kuimanage wakati una tembea katika red carpet

Giulia Salemi na  Dayane Mellow wame pata aibu ya mwaka baada ya kuvaa nguo hizi zenye mipasuo mirefu na kushindwa kuzimanage zisifunuke,

Dayane Mello alivaa gauni ya pink ya kata mikono, akavaa gauni hili na belt la silver, isinge kua kwa mpasuo kuwa mkubwa tunge sema kapendeza mno lakini too bad upepo ulimuharibia shughuli maana nguo ilifunuka akawa ana hangaika kujifunika bila mafanikio

Giulia-Salemi-and-Dayane-Mello-attend-the-premiere-of-The-Young-Pope-during-the-73rd-Venice-Film-F Premiere-of-The-Young-Pope-during-the-73rd-Venice-Film-Festival

Giulia Salemi huyu alijiandaa kabisa kwa maana hii nguo kabla ya kuvaa lazima uwaze mara mbili, alivaa nguo hii iliyo acha nafasi kubwa ya maungio yake kuonekana na ina semekana ali trip na kila kitu kika baki wazi

The-Young-Pope-premiere-73rd-Venice-Film-Festival-Italy-03-Sep-2016

The-Young-Pope-Premiere-During-73rd-Venice-Film-Festival

 

Related posts