SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wanamitindo Wapandishwa Jukwaani Vifua Nje Katika Mercedes-Benz Fashion Week 2018
Mitindo

Wanamitindo Wapandishwa Jukwaani Vifua Nje Katika Mercedes-Benz Fashion Week 2018 

Mercedes-Benz Fashion Week inaendelea huko Accra Nchini Ghana, ambapo week iliyopita tuliona jinsi mbunifu Bijoux Trendy  kutoka Tanzania alivyo show case mavazi yake katika event hio na jambo kubwa tulilo liona kutoka kwake ni kumpandisha model akiwa bra-less, lakini imeonekana si yeye tu ambae alipandisha model akiwa vifua nje wabunifu wengine mbalimbali wameonekana kupandisha  Wanamitindo  Jukwaani Vifua Nje Katika Mercedes-Benz Fashion Week 2018

Models wameonekana kupita jukwaani wakiwa vifua nje na ikatufanya tufikiri is showing nipples a new trend Africa? kwa malezi yetu ya ki-Africa hii si sawa lakini katika ulimwengu wa fashion hakuna limitation mwaka jana katika London Fashion Week top shop walipandisha wanamitindo wao nao wakiwa vifua nje ni kama dejavuu kutoka kwao au tuseme been there done that.

mbunifu kamana Felix yeye alipandisha collection yake ikiwa na huyu model, ambapo alivaa hilivazi likiwa lina onyesha maumbile yake ya ndani na kukiwa na kiasi kidogo cha nguo kimeficha kifua chake.

Wakati mbunifu CLAVON LEONARD yeye hakuna haja ya kuficha chochote ambapo model wake alipanda akiwa amevaa sheer floral pink dress inayo onyesha maungio ndani, na flashing them nipples ( chuchu), we have some Kendall Jenner & Gigi Hadid Models ambao wao wapo tayari kufanya chochote alimradi wanalipwa vyema.

Lakini wakwetu nae hakuwepo nyuma ambae yeye alimpandisha huyu model akiwa amevalia a statement shoulder necklace tupu bila chochote ndani na suruali ya batiki na turban ya batiki.

Je ninyi wenzetu mnaonaje hili? tumevuka mpaka au ni mamabo ya fashion?

Related posts

6 Comments

 1. Plantation Shutters

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wanamitindo-wapandishwa-jukwaani-vifua-nje-katika-mercedes-benz-fashion-week-2018/ […]

 2. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Here you can find 33028 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wanamitindo-wapandishwa-jukwaani-vifua-nje-katika-mercedes-benz-fashion-week-2018/ […]

 3. turners

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wanamitindo-wapandishwa-jukwaani-vifua-nje-katika-mercedes-benz-fashion-week-2018/ […]

 4. hk guns

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wanamitindo-wapandishwa-jukwaani-vifua-nje-katika-mercedes-benz-fashion-week-2018/ […]

 5. get redirected here

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wanamitindo-wapandishwa-jukwaani-vifua-nje-katika-mercedes-benz-fashion-week-2018/ […]

 6. navigate to this web-site

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wanamitindo-wapandishwa-jukwaani-vifua-nje-katika-mercedes-benz-fashion-week-2018/ […]

Comments are closed.