SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wanaume Hivi Ndivyo Viatu Vya Kuepuka Kuvaa Mbele Ya Wanawake
Mitindo

Wanaume Hivi Ndivyo Viatu Vya Kuepuka Kuvaa Mbele Ya Wanawake 

Ni ngumu sana kwa mwanaume kunotice viatu vya mwanamke lakini ni kawaida ya mwanamke kuchunguza kila kitu ambacho mwanaume amevaa lakini mostly ni viatu. Kuna aina ya viatu ambavyo mwanamke akimuona mwanaume kavaa ana chukia na saa nyingine asipende hata kuongozana nae kwa sababu moja au nyingine. Kama kuwa out of fashion, kuwa kawaida au kuto endana na umri wa mhusika.

Converse

Japo kuwa converse ni timeless pear of shoes lakini kama wewe ni mwanaume ambae una umri wa kuanzia miaka 35 kuendelea kaa mbali na hivi viatu. Wanawake wana chukulia wanaume wa umri huu ni watu wazima wameshakua na wanahitaji kujielewa unapo vivaa ana kuona immature na attention seeker.

Flip Flops – Sandals za kama ndala 

Japo viatu hivi vina wakaa vizuri wanaume lakini wanawake wengi hawapendi kuona wanaume wamevaa aina hii ya viatu moja ni kutokana na kwamba miguu ya wanaume (baadhi haivutii) lakini pia wanaume hawapendi kujali miguu yao. Kama wewe ni mwanaume na ungependa kuvaa viatu hivi basi hakikisha miguu yako ipo vizuri na pedicure ime husika.

Adidas Slides 

Hivi kaa navyo mbali wanawake wanaamini viatu vya aina hii ni vya watoto wa shule na athletes kama wewe si mmoja kati ya tajwa hapo stay away from them.

Pointy Monkstraps/mchongoko

 

 

Please don’t, pointy monkstraps zipo out of fashion na in some way hazileti picha nzuri mguuni. Na wanaume wengi wanavalia hivi viatu suruali za kubanaits just wrong in so many levels please keep them away.

Square-toed Dress Shoes 

Zili trend sana miaka ya 90 na we are glad ziliishia huko huko, tafadhali kuwa updated na fashion miaka hio vilipendwa sana lakini sasa hivi utaonekana mlugaluga & these shoes zinafanya mguu uonekane mrefu kuliko kawaida well women hates these shoes & so do we.

 

 

Related posts

4 Comments

 1. Check This Out

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wanaume-hivi-ndivyo-viatu-vya-kuepuka-kuvaa-mbele-ya-wanawake/ […]

 2. สล็อตเว็บตรงpg

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wanaume-hivi-ndivyo-viatu-vya-kuepuka-kuvaa-mbele-ya-wanawake/ […]

 3. rich89bet

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wanaume-hivi-ndivyo-viatu-vya-kuepuka-kuvaa-mbele-ya-wanawake/ […]

 4. 예능 다시보기

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wanaume-hivi-ndivyo-viatu-vya-kuepuka-kuvaa-mbele-ya-wanawake/ […]

Comments are closed.