SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WAPENZI WANO TISHA ZAIDI KATIKA MITINDO
Mitindo

WAPENZI WANO TISHA ZAIDI KATIKA MITINDO 

1) juma Jux Na Vanessa Mdee

Hawa ndo wapenzi walio tisha zaidi katika sekta ya mitindo mwaka huu, Juma Na Vanessa wote ni wanamuziki na mahusiano yao yamedumu kwa muda sasa. Juma na Vanessa wanajua kujipangilia katika mavazi kama wapo pamoja au kila mmoja peke yake.

juma_jux_97 juma_jux_56 juma_jux_52

2)Zarina Hassan Na Naseeb Abdul

Zarina Hassan ni mfanya biashara wa Uganda na ana maduka yake sehemu mbalimbali Africa, Naseeb Abdul ni mwanamuziki kutoka Tanzania anae fanya vizuri zaidi Zarina na Naseeb ni moja kati ya wapenzi maarufu wanao jua kutendea haki mitindo. Wakiwa pamoja au kila mtu peke yake.

diazari2 Zari-D,daimond na zari wa uganda

3) Wema Abrahamu Sepetu na Luis Imunana

Wema Abrahamu Sepetu kama ambavyo ana fahamika yeye ni Miss Tanzania 2006, Muigizaji wa Filamu pia ana kampuni yake ya kusimamia wasanii, Luis Imunana ana tokea Namibia ni mwanamitindo pia aliwahi kushiriki katika Jumba la Big Brother Hot Shot 2014. Hawa wawili waliingia katika mahusiano mwaka huu mwanzoni na wana itendea vyema sekta ya mitindo kwa sababuLluis ni mwanamitindo na meneja wa Wema ni Mbunifu mchanganyiko wao una leta radha safi kabisa katika mitindo.

Wema-Sepetu-and-Luis-Munana-1 Luis-Munana-267x400 PhotoGrid_1423718774359

4)Jokate Mwegelo na Alikiba

Jokate no mwanamuziki,Miss Tanzania (2) 2006 pia ni mmiliki wa  kampuni ya Kidoti, Alikiba ni mwanamuziki wote kutoka Tanzania.

da3cjokate Ali-Kiba1 ali kiba na jokate

5) Idris Sultan Na Samantha Jensen

Idris Sultan ni mshindi wa Big Brother HotShot 2014 na ndipo walipo kutana na Samantha Jansen, Samantha anatoka Afrika kusini.

10864671_397380463765016_643512852_n  idris-sultan CD8yfRFWIAEUSlr

 

 

 

Related posts

4 Comments

  1. pg slot

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wapenzi-wano-tisha-zaidi-katika-mitindo/ […]

  2. Gelfand Rennert & Feldman

    … [Trackback]

    […] There you will find 14711 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wapenzi-wano-tisha-zaidi-katika-mitindo/ […]

  3. Study Medicine in Nigeria

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wapenzi-wano-tisha-zaidi-katika-mitindo/ […]

  4. ufabtb

    … [Trackback]

    […] There you can find 68189 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wapenzi-wano-tisha-zaidi-katika-mitindo/ […]

Leave a Reply