Kama ni mpenzi wa mitandao ya kijamii na ume wa follow fashionistas lazima utakuwa umeelewa nini tunaongelea, The plaid coit is everywhere karibu kila siku lazima ukutane na picha za baadhi ya fashionista wamevaa, well sio tu plaid coat ni grey plaid coat, ni muda wake huu its rain season kuna baridi na plaid tend to be warm
We love the plaid coat kwa sababu ina weza kuvalika na chochote popote, inaweza ikawa ofisini, au in your daily activities casual
Fashionista @Justfatema amevaa plaid coat na long skirt, white shirt huku akimalizia muonekano wake na statement chain, clutch nyekundu na miwani (dope!)
Wakati @Fisayolonge yeye aliamua kuvaa a tuxedo plaid coat heels alizo accessorize na socks (socks ni essential nyingine to have) a black & gold bag na hereni.
@thequeenxbee yeye alistyle her long plaid coat na skin jeans na white tee huku akimalizia muonekano wake na clear heels na glasses
Lakini mwingine nae ambae ametukosha jinsi alivyo style coat hili ni @Jadorefashion , yeye amestyle coat lake na white tee, distressed skin jeans, nice brown & yellow boots (to die for) na a little simple bag.
kuna style nyingi za ku style coat hili unaweza kuvalia na skirt short ya jeans etc, we love the trend do you?
Related posts
1 Comment
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wardrobe-essential-the-plaid-coat/ […]