SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wasanii Jifunzeni Kutoka Kwa Jlo, Lagy Gaga Na Demi Lovato
Mitindo

Wasanii Jifunzeni Kutoka Kwa Jlo, Lagy Gaga Na Demi Lovato 

Jana ilikuwa siku ya kuapishwa kwa rais mpya wa marekani Dr. Joe Biden, watu maarufu mbalimbali walialikwa kutumbuiza katika sherehe hiyo. Watu kama Lady Gaga, Jennifer Lopez na Demi Lavato walitumbuiza katika siku hio, na kilicho tuvutia mpaka tukafikia kuandika hili andiko ni mavazi yao.

Sote tunajua mavazi ambayo Gaga anakawaida ya kuvaa, Jennifer Lopez na alkadhalika Demi Lovato lakini kwenye hii sherehe unaweza kuona kabisa wamebadilika na kuvaa mavazi yanayoendana na sehemu hio.

Kuna watu maarufu wengi ambao tunawajua wanaovaa mavazi ya ajabu hata kwenye hafla ambazo zinawataka kuvaa proffessional, sehemu kama

 • Mashuleni
 • kuchukua au kutangazwa kama brand ambassador wa kampuni fulani
 • ubalozini
 • Kutembelea wakina mama
 • kutembelea wagonjwa hospitalini n.k

Chukua muda wako kuangalia uzito wa shughuli na kina nani unaenda kukutana nao, its a shame kwa msanii kutokujukulia uzito wa sehemu aendayo na mavazi anayoyavaa. 2021 normalize dressing according to occasion, weather and time.

Related posts

2 Comments

 1. ufabet

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wasanii-jifunzeni-kutoka-kwa-jlo-lagy-gaga-na-demi-lovato/ […]

 2. Lyophilized Goldmember Magic Mushrooms

  … [Trackback]

  […] There you can find 22497 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wasanii-jifunzeni-kutoka-kwa-jlo-lagy-gaga-na-demi-lovato/ […]

Comments are closed.