SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WASANII KUNA HAJA YA KUTAFUTA WABUNIFU
Mitindo

WASANII KUNA HAJA YA KUTAFUTA WABUNIFU 

Wasanii wengi hivi sasa wame jitumbukiza kwenye soko la biashara mbali mbali ukiachana na kazi zao za kawaida za usanii. Wengine wana maduka ya vipodozi, wengine nguo, viatu na kadhalika.

Lakini tumeona wasanii wengi wamejikita katika maswala ya mitindo ikiwemo kufungua biashara ya nguo zao wenyewe hii ime sababisha wasanii wengi na watangazaji wafanye biashara za kufanana.Si jambo baya maana kila mtu ana watu wake ambao wanaweza kumuungisha kila anachokifanya.Ni wazi wengi wanafanya biashara ya kuchapisha T shirts au clothing line.

1623701_695915943764636_1891476743_n 1800319_694551160567781_1652655396_n

Tumeona sasa Diamond Plutnamz,Bdozen,Weusi,Gentriez, jux  na wengine wengi wamekuwa wakifanya biashara hii.

0.1fiesta 2014 mwanza17 b81

Narudia tena sio jambo baya maana ni katika kuongeza kipato cha maisha yao.Lakini hapa kuna haja ya wao kuweka/kutafuta wabunifu ambao wana uwanja mpana wa kujua zaidi kuhusu mambo ya mitindo.Kuna faida kubwa kama wataamua kufanya swala hili katika ngazi ya juu zaidi.Mbunifu anakuwepo kwaajili ya kubuni lakini brand inabaki kuwa ya msanii husika.

juma jux

Kuna wabunifu wachanga wenye mawazo makubwa na uwezo mkubwa wa kubuni, badala ya kuchukua picha au neno likachapishwa kwenye fulana ni muda sasa wa kutoa ajira kwa hawa vijana na kupata radha tofauti Zaidi ya T-shirt na kofia au kwa ujumla mavazi ya kuchapishwa.

Ni wazi kama unahitaji kukua na kuonekana bora ni lazima uwe tofauti.

Related posts

4 Comments

  1. ozempic dose for weight loss non diabetic​

    … [Trackback]

    […] Here you can find 11610 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wasanii-kuna-haja-ya-kutafuta-wabunifu/ […]

  2. 호두코믹스

    … [Trackback]

    […] There you will find 58595 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wasanii-kuna-haja-ya-kutafuta-wabunifu/ […]

  3. สินเชื่อโฉนดที่ดิน ที่ไหนดี

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wasanii-kuna-haja-ya-kutafuta-wabunifu/ […]

  4. แทงบอล lsm99

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wasanii-kuna-haja-ya-kutafuta-wabunifu/ […]

Leave a Reply