SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WATANZANIA 6 WALIO TUWAKILISHA VYEMA KIMITINDO KIMATAIFA 2015
Mitindo

WATANZANIA 6 WALIO TUWAKILISHA VYEMA KIMITINDO KIMATAIFA 2015 

Wafuatao ni watu sita walio itangaza Tanzania vyema katika ulimwengu wa mitindo

ds

 

Millen Magesse ambae miaka ya nyuma alikua Miss Tanzania, Millen amepokea tuzo mbili kubwa mwaka huu kutoka BET na Nigeria kutokana na project yake ya kutokomeza endometriosis. Millen pia ame fanya na ana endelea kufanya kazi na makumpuni makubwa mbali mbali huko barani ulaya.

sa

Herrieth Paul ni mwanamitindo kutoka Tanzania ambae ana ipeperusha bendera yetu vizuri katika ulimwengu wa mitindo, Herrieth amesha fanya kazi na makampuni mbalimbali  Millan, New York, Paris na London Fashion week pia amefanya kazi na kampuni ya Balmain mwaka huu akiwa pamoja na wanamitindo maarufu kama Kendall Jenner na Gigi Hadid.

dDax Hans ni mwanamitindo wa kwanza wa kiume kutoka Tanzania ambae ame sainiwa na kampuni kutoka South Africa iitwayo Ice Model Management na hivi karibuni amesainiwa na kampuni nyingine kutoka New York kutokana na kazi yake nzuri Daxx maekua mfano bora na wa kuigwa kutoka kwa wanamitindo mbalimbali wa kiume hapa Nchini.

Screen Shot 2014-06-11 at 10.40.06

Diamond Platnumz ukiachana na muziki diamond pia yupo vizuri katika mitindo ameonekana akisifiwa na watu mbali mbali na pia hivi karibuni ameshinda tuzo ya most stylish couple akiwa aliteuliwa yeye na mpenzi wake kuwania tuzo hio huko Uganda, pia ameonekana akienda kwenye red carpet nyingi ndani na nje ya nchi akiwa amependeza na vijana wengi huiga anavyo vaa.

vee

Vanessa Mdee pia ni kama Diamond ameshinda tuzo ya East African’s Best Dressed Female Artist huko Uganda ambapo amewapiku wengi kutoka Afrika mashariki.

kadinda

Martin Kadinda mwaka huu amechukua Tuzo zaidi ya tatu lakini pia amechukua tuzo kubwa ya East African Fashion Designer Of The Year kutoka Uganda.

 

Related posts

2 Comments

  1. สล็อตออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/watanzania-6-walio-tuwakilisha-vyema-kimitindo-kimataifa-2015/ […]

  2. betclic88

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/watanzania-6-walio-tuwakilisha-vyema-kimitindo-kimataifa-2015/ […]

Leave a Reply