SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Watu Maarufu Wakiwa Katika Red Carpet Ya Miss South Africa 2018
Mitindo

Watu Maarufu Wakiwa Katika Red Carpet Ya Miss South Africa 2018 

Wakati sisi tukiwa katika utafutaji wa mamiss watakao shiriki Miss Tanzania mwaka huu na kisha kwenda kushiriki Miss World, wenzetu South Africa jana wamempata Miss wao wa mwaka huu ambae atashiriki Miss World. Hiki ni moja ya kitu kinacho tukwamisha kwamba tupo nyuma ya muda wenzetu wanapata ma-miss mapema na kuwaandaa mapema sisi tunasubiri hadi week moja kabla ya Miss World ndio tupate wa kwetu. Lakini hatupo hapa kuongelea hilo leo tupo kuangalia nani amevaa nini katika red carpet na sherehe nzima ya kumtafuta Miss South Africa.

Aliyeshinda Miss Sa ni tamaryngreen 😍

Kwanza kabisa tunaanza na host au mshehereshaji slayer kutoka South Africa, Bonang Matheba yeye alivaa outfit nne, katika hafla hii ambapo kati ya hizo nne tatu zimebuniwa na mbunifu Fouad Sarkis Couture aliyemvelisha mwanamitindo Miriam Odemba katika red carpet ya Cannnes 2018

Kuna so many details katika hili gauni na ukiligawa unaweza kupata magauni matatu au manne lakini limebuniwa vizuri na wala halijawa too much, went well with Bonang’s body

Gauni lingine lilikuwa la blue kutoka kwa mbunifu huyohuyo ilikuwa ball dress yenye mkono mmoja, amemalizia na big earrings na amebana vizuri nywele zake.

hapa akiwa in a red off shoulder dress ambayo alivaa na head piece kutoka kwa mbunifu oddcommoditiesny, alikuwa minimum na accessories she let the dress & head piece speaks

Gauni lake la nne lilikuwa shear & glitter cut out hands dress lenye rangi nyeusi, gold na sliver kutoka kwa mbunifu Steven Khalil, well hii gauni ni nzuri lakini isn’t the sheer dresses over now?

South African Slayer Pearl Thusi  yeye alionekana kuvalia gauni la sequin lenye rangi nyeusi na silver kutoka kwa mbunifu : @casperdesigner
Accessories: @elegance_jewellers diamonds & Purse: @Gucci
Shoes: @europaart
Hair: @_blackpearlhair

Liesl Laurie Miss South Africa 2015 yeye alionekana akiwa amevalia hili gauni kutoka kwa mbunifu @roxannepengilly  we love the upper part hii part ya chini hatujaielewa lakini mwenyewe kaivaa effortlessly

Miss South Africa 2011 na yeye alionekana kwenda ku-support Miss South Africa 2018, Melinda Bam alionekana kuvaa a white off shoulder dress kutoka kwa mbunifu  @anelbothac, moja kati ya favorite outfit zetu usiku huu, ime m-fit perfectly

Miss South Africa 2017 Adè van Heerden

Kina kaka nao hawakuwa nyuma tumependa sana huyu mwenye green ni muigizaji Zweli Dube

Related posts

5 Comments

 1. asian mental health chicago

  … [Trackback]

  […] Here you can find 97850 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/watu-maarufu-wakiwa-katika-red-carpet-ya-miss-south-africa-2018/ […]

 2. ma haung tea

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/watu-maarufu-wakiwa-katika-red-carpet-ya-miss-south-africa-2018/ […]

 3. Hunter898

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/watu-maarufu-wakiwa-katika-red-carpet-ya-miss-south-africa-2018/ […]

 4. 웹툰 다시보기

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/watu-maarufu-wakiwa-katika-red-carpet-ya-miss-south-africa-2018/ […]

 5. reference

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/watu-maarufu-wakiwa-katika-red-carpet-ya-miss-south-africa-2018/ […]

Comments are closed.